Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

Hivi kumbe hata usipofanya unalipwa?
1000033679.jpg
 
Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.

Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.

Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu. Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.

Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.

Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?

Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana. Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.

Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Uko sahihi 1m % brother. Mi mstaafu nilijiondoa mapema. Nimeamua kujiajiri, nimeshangaa nilivyochelewa na kwa nini nimekaa muda wote huo serikalini. Fursa za kupiga hela zipo nje ya utumishi serikalini nyingi tu, na bila stress.

Watumishi wengi akitembelewa na ndugu au jamaa pale kwake inakuwa jambo la kuongelea nje huko. Yaani ni shida. Kutoboa ni wachache.

Kitu ambacho naona kinakosekana ni elimu ya fursa zilizopo nje ya utumishi serikali kuu. Hiyo elimu utaipata wapi ?
Sana sana mtu wa kukuongoza ni mzazi kama ana ufahamu na jamaa wa karibu, kichwa kichwa inakuwa ngumu.
 
Kuajiriwa sekta binafsi ni sawa na kubet any time unaweza kuondoka either kwa chuki,utendaji mbovu wa kazi,mtu ana mtu wake anataka amuweke nafasi yako yaani hivyo stess masaa 24 mishahara ya kawaida unless una nafasi kubwa sana kama manager na uzoefu wa mda mrefu nje ya hapo mishahara ndio hiyohiyo ya kubanana
 
Kwenye ajira hizohizo wengne wana maisha ya kawaida wengne wanamaisha duni.

Kujiajir si kaz nyepesi,inataka nidhamu na kujitoa

Hata hvyo kukosa elimu ya msingi ya fedha(financial literacy) n moja ya sababu inayowamalza waajiriwa wengi hata mshahara ukiongezeka.
 
Kwa sababu mtaani hakukaliki hakupikiki hakuliki
 
Tuelezee maana mmechapika kitaa.
Mbona kama una wivu fulani mkuu? Una katabia kakike. Mimi sio mtumishi lakini sioni sababu ya hii hoja yako

Mshahara haujawahi kutosha waache wafanye kazi ila wajiongeze. Wengine wametumia mishahara kama mitaji

Ukweli ni kwamba hakuna tajiri aliyeajiriwa
 
Hiv anayechota 4M na vitoto vitoto ni Kima cha chini? Basi Kuna watu wanaishi aseeeee hongerin wakuuu
 
MIkopo hata wafanyabiashara wanakopa, labda biashara yako ya huduma ya kufirwa haihitaji mkopo
Hahaa umepanick maskini mkubwa wewe. Tena tarehe kama hizi mshahara ushaisha ni vizinga kwa kwenda mbele😂, wekabl number uokote mtumwa.
 
Hahaa umepanick maskini mkubwa wewe. Tena tarehe kama hizi mshahara ushaisha ni vizinga kwa kwenda mbele😂, wekabl number uokote mtumwa.
Unatafuta basha, sema haraka ufirwe uokote.

Njaa ndio inakusumbua.

Fakers
 
Mtumishi tarehe mbaya hizi njaa inatia hasira hahaaaaa.
Mimi mtendaji wa kata bana.

Hao wanaojiita wafanyabiashara ndio mabingwa wa kukopa, nawasainia barua zao za mikopo kila siku.

Na wengine mabank yanakuja kupiga mnada mali zao kila siku
 
Uko sahihi 1m % brother. Mi mstaafu nilijiondoa mapema. Nimeamua kujiajiri, nimeshangaa nilivyochelewa na kwa nini nimekaa muda wote huo serikalini. Fursa za kupiga hela zipo nje ya utumishi serikalini nyingi tu, na bila stress.

Watumishi wengi akitembelewa na ndugu au jamaa pale kwake inakuwa jambo la kuongelea nje huko. Yaani ni shida. Kutoboa ni wachache.

Kitu ambacho naona kinakosekana ni elimu ya fursa zilizopo nje ya utumishi serikali kuu. Hiyo elimu utaipata wapi ?
Sana sana mtu wa kukuongoza ni mzazi kama ana ufahamu na jamaa wa karibu, kichwa kichwa inakuwa ngumu.
Ukweli kabisa ndugu.
 
Back
Top Bottom