Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

1746827105584.png
 
Watumishi haijalishi unalipwa shilingi ngapi mko vizuri maana una uhakika wa kula, bima ya afya, mikopo na ukifanikiwa kustaafu una mafao, sisi wengine huku kitaa tunaishi kama mbwa unakula leo kesho hujui utakula nini. Kuna muda unawaza ukizeeka huna nguvu ya kutafuta chochote maana yake ni unakufa kwa njaa au magonjwa yanayotibika.
 
Watumishi wa serikali most of them ni icompitent so hawawezi mziki wa private kwakuwa huku ni results oriented and not Work oriented.
 
Watumishi haijalishi unalipwa shilingi ngapi mko vizuri maana una uhakika wa kula, bima ya afya, mikopo na ukifanikiwa kustaafu una mafao, sisi wengine huku kitaa tunaishi kama mbwa unakula leo kesho hujui utakula nini. Kuna muda unawaza ukizeeka huna nguvu ya kutafuta chochote maana yake ni unakufa kwa njaa au magonjwa yanayotibika.
Kwahiyo mambo

Kama Bima
Chakula
Kodi ya pango

Ndo unasema wapo vizuri?

Bima siunaweza kukata sio mpaka uwe umeajiriwa serikalini .
 
Mkuu inawezekana kiuchumi upo daraja la juu...watu tunakula kwa manati..ukila asubuhi unapiga pasi ndefu hadi usiku. Unategemea nitanunua bima kweli ?
 
Ni kweli.
Letesi hapa TIPS za kupata kazi kwenye Mashirika. Binafsi hua napita pita sana FAO na World Food Programme, lkn naona kazi zao most wana taka Advanced Degree na Experience kubwa kubwa 😷
Huko kama una elimu ya kuung unga na huna extra ordinary skills hata interv huwez kuitwa hawafundishi kaz wanataka watu waka deliver so utawaona only wakenya Uganda and the like sa watz more theoretically mpk Leo unatlkuta mwal au mtu kwenye taasisi ya serikali hajui Ms word sijakuambia exel au SSP
 
Watumishi haijalishi unalipwa shilingi ngapi mko vizuri maana una uhakika wa kula, bima ya afya, mikopo na ukifanikiwa kustaafu una mafao, sisi wengine huku kitaa tunaishi kama mbwa unakula leo kesho hujui utakula nini. Kuna muda unawaza ukizeeka huna nguvu ya kutafuta chochote maana yake ni unakufa kwa njaa au magonjwa yanayotibika.
Kabisa mkuu bora aliyeajiriwa unafikiria kama kijana unalala njaa je ukiwa mzee n balaa.
 
Binafsi huwa najiuliza, niache mshahara labda 1.5m wa private niende serikalini kulipwa 900k na kazi zinakuwa nyingi zaidi serikalini....nabaki dilemma ila serikalini nitaenda nikifikisha miaka 40
Na unakuta mzee posho za manati goverment.
 
Huko kama una elimu ya kuung unga na huna extra ordinary skills hata interv huwez kuitwa hawafundishi kaz wanataka watu waka deliver so utawaona only wakenya Uganda and the like sa watz more theoretically mpk Leo unatlkuta mwal au mtu kwenye taasisi ya serikali hajui Ms word sijakuambia exel au SSP

Hahaa sio kweli Mkuu.
Nenda linkedlin Utaona kuna wabongo wengi tu wanafanya Vizuri kwenye International NGOs.

Japo ni kweli Wakenya Ni wengi kuliko wa Tz.
Lkn Hatuwezi kujikatia tamaa
 
Mi nimeona panya ndio wanang'aa, madereva 70 wamefkuzwa Qatar. Vilaza.😂
 
Back
Top Bottom