Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

Kwanini uwe mfanyakazi wa serikali?

Huyu aliyeandika haya ni winga kariakoo au ana duka mtandao anapiga debe bidhaa za watu!

Kila siku mnapiga makelele humu ajira za serikali zisiwe za kudumu!
Mnapinga teuzi Kila siku!

Halafu mkishiba uji mnatukana watu!
 
Naona unaandika porojo ,maisha ni kuwa na uhakika wa kuishi ,serikalini ni rahisi kupambana na chuki bila ya kupoteza ajira ila nenda huko kwenye mashirika binafsi ..Ajira kwenye mashirika binafsi iko rehani kama zile umewekabond nyumba kwa ajili ya mkopo wa bank halafu hauna uhakika wa kurudisha mkopo...
 
Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.

Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.

Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu. Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.

Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.

Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?

Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana. Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.

Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Hebu cheki na jamaa zako wa USAID wakuambie hali ikoje kwasasa.
 
Utumishi wa umma si kwa ajili ya kuwa Tajiri ni kwa kutoa huduma kwa wanachi. Wewe umejua kusoma na kuandika kwa utumishi wa umma. Leo unaona waliokusomesha na kukutibu ukiumwa tangu mtoto mchanga mpaka leo kama wamepotea wakati bado unawahitaji. Fikiri up ya mawazo yako.. ila ungesema watumishi wa umma wengi wai hawafanyi kazi ipasavyo na ni wezi ningekuelewa.
 
Hebu cheki na jamaa zako wa USAID wakuambie hali ikoje kwasasa.
Sasa kama mtu alishajenga dream house yake ya ghorofa, pesa nzuri , network, vitu ambavyo mpaka mtumishi ata akistaafu hawezi kuwa navyo, who is the looser?
 
Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.

Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.

Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu. Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.

Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.

Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?

Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana. Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.

Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Sio tunang'angania.....tumepigwa pini hatuna pa kwenda....hakuna ajira na sisi tunatakiwa kuishi......Labda utupe michongo
 
Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.
Ndio kazi za serikali zina security
Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.
Ni kweli wana struggle ila sekta binafsi wana struggle zaidi.
  • Hakuna kufukuzana muda wowote
  • Hata kama mshahara kidogo, lakini kupata ni uhakika
  • Sekta binafsi, unaweza kukaa hata miezi 3 hujalipwa
Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu.
Ni kweli mshahara wa kawaida. Sasa wapi kuna mshahara mnono.
Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.
Kwahiyo ni nini mbadala wake?
Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.

Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?
Tu- assume siyo waoga wanatakiwa wafanye nini?
Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana.
Incompetence ni nini kwa tafsiri yako?
Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.
International job markets ipi?

au umeshaona jobs za madalali wa Qatar, Saudi Arabia, Myanmaar
Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Mentality nzuri ni ipi kwako?

Kwahiyo kufanya kazi serikali TZ, ni utumwa ila kwenye international market siyo utumwa?
 
Huyu aliyeandika haya ni winga kariakoo au ana duka mtandao anapiga debe bidhaa za watu!

Kila siku mnapiga makelele humu ajira za serikali zisiwe za kudumu!
Mnapinga teuzi Kila siku!

Halafu mkishiba uji mnatukana watu!
hatari sana
 
Ndio kazi za serikali zina security

Ni kweli wana struggle ila sekta binafsi wana struggle zaidi.
  • Hakuna kufukuzana muda wowote
  • Hata kama mshahara kidogo, lakini kupata ni uhakika
  • Sekta binafsi, unaweza kukaa hata miezi 3 hujalipwa

Ni kweli mshahara wa kawaida. Sasa wapi kuna mshahara mnono.

Kwahiyo ni nini mbadala wake?

Tu- assume siyo waoga wanatakiwa wafanye nini?

Incompetence ni nini kwa tafsiri yako?

International job markets ipi?

au umeshaona jobs za madalali wa Qatar, Saudi Arabia, Myanmaar

Mentality nzuri ni ipi kwako?

Kwahiyo kufanya kazi serikali TZ, ni utumwa ila kwenye international market siyo utumwa?
Be your own boss. Acha uoga na uvivu kwa kujificha kwenye kichaka cha security. Security without financial freedom is madness. Mnadaiwa na mabenki kazi kukopakopa tu. Maisha gani hayo? Incompetence sababu hamna skills ku diversify job market. Diploma holder wa Kenya anampita mbali sana Degree au masters holder wa Tanzania. Daktari wa Tanzania nje ya mipaka yake ni takataka, ata mwalimu. Takataka. Only a handful. Ndio maana mnajificha huko serikalini maana wanawalea madhaifu.
 
We sema tu, ila jua sina mkopo benki, ninanyumba kali, gari kali na sina stress za kuamka asubuhi kukimbizana na muda. Si wazi tarehe ya mshahara, nina uhuru, financial freedom. Wewe huna, una survive badala ya kuishi. Utakopa mpaka uzeeke.
Huyu aliyeandika haya ni winga kariakoo au ana duka mtandao anapiga debe bidhaa za watu!

Kila siku mnapiga makelele humu ajira za serikali zisiwe za kudumu!
Mnapinga teuzi Kila siku!

Halafu mkishiba uji mnatukana watu!
 
Be your own boss. Acha uoga na uvivu kwa kujificha kwenye kichaka cha security. Security without financial freedom is madness. Mnadaiwa na mabenki kazi kukopakopa tu. Maisha gani hayo? Incompetence sababu hamna skills ku diversify job market. Diploma holder wa Kenya anampita mbali sana Degree au masters holder wa Tanzania. Daktari wa Tanzania nje ya mipaka yake ni takataka, ata mwalimu. Takataka. Only a handful. Ndio maana mnajificha huko serikalini maana wanawalea madhaifu.
TZ kuna wafanyakazi wa serikali hawazidi LAKI 6.

Nchi hii ina watu zaidi ya miliomi 60, lets assume wanaofanya kazi milioni 30.

Hao Milioni 30 wamefika wapi, mbona we have the weakest private sector kiasi kwamba hata kulipa mishahara mi changamoto.

Madaktari nje ya nchi wapi, wakati wamejaa BOTSWANA.

Nje ya nchi ipi??

Mwalimu umewaona wapi nje ya nchi??
 
We sema tu, ila jua sina mkopo benki, ninanyumba kali, gari kali na sina stress za kuamka asubuhi kukimbizana na muda. Si wazi tarehe ya mshahara, nina uhuru, financial freedom. Wewe huna, una survive badala ya kuishi. Utakopa mpaka uzeeke.
Sasa kama unaishi hivyo, maisha ya watu wengine na mikoponyao inakuhusu nini?

Unawalipia kodi na chakula??
 
Waoga wa maisha. Botswana ilikuwa zamani. Saivi akanyagi lofa pale.
 
Uoga wa maisha unao.wewe, maana inao ekana maisha ya watu yanakukereketa kinoma yaani.

Hakuna tajiri wa hivyo.

Wababaishaji ndio wapiga kelele
 
Lala mapema wewe kesho usijechelewa kazi yako ya kimaskini mikopo shindilii.
 
Back
Top Bottom