Vigezo vipi huenda havijatia wewe unaon!, kama kila hatua tayali na kila kinachohitajika tayali kulingana na kanuni na sheria zote za nchi sasa hapo unafikili nini kifanyike, ukiwa na hakiki finyu utasema muombe Mungu, sasa hapo unaombaje Mungu angali asha kusaidia kila hatua ila ni watu wachache hawataki kukubaliana na jitihada zako, au tumuimbe Mungu wafe hao watu au watoke katika authorities zako, wanje wengine wen ueledi na hekima pia na ethics za utumishi ?Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.