Professier
Member
- May 5, 2023
- 95
- 131
Ila itoshe kusema diploma wanalamba sana asali kuliko degree. 😂😂😂
Umeliona kuna kada adi raha
Waendesha ofisi mwaka wao huuUmeliona kuna kada adi raha
si mchezoUmeliona kuna kada adi raha
Hatari hawa jamaa kila mkeka wapo hata ukiwa wa page 1 hawakosekaniupepo wa masuka huu.. 🤣 🤣
Hongera sana!Haha niliona kwa sabab ya furaha nmeandika hata ambayo hayastahil. Ila mbali na yote nimejikuta namimi wamenikumbuka
YapDaaah aisee Oral interview walikuwa 17 na nafasi zilikuwa 7 na wamere-advertise nafasi 4 kwa hiyo ina maana 03 tu ndio walifaulu oral??
Kabisa eti, hizi ni politics aiseesasa hapo nikwamba pdf moja limevunjwa vipande vinne mpaka lije litoke lingine maji tutaita mma..
Na vpy za VETA watatoa placement liniPdf ztatoka nyengne kabla ya mwez wa sita
Hao jamaa nilikutana nao dom mwaka huu walifanya oral pale walikuwa zaidi ya mia 3 na toka wameanza kuitwa sidhani hata mia wamefika hivyo wategemee sana kwenye mapdf hao hiyo kada hawapoinaona upepo unaenda unarotate mpaka uje uwakute mwaka ushaisha
siunaona zilivofatana hizo pdf huo ni mkeka mmoja wameuvunja kuwapooza majobless.hapo mpaka hivo vimulimuli vyote vizime hapo ndio watatoa tena sidhani kama ni mwezi huu..Pdf ztatoka nyengne kabla ya mwez wa sita
mzee naona uzi umekuganda,mungu akujaalie asali tusiunaona zilivofatana hizo pdf huo ni mkeka mmoja wameuvunja kuwapooza majobless.hapo mpaka hivo vimulimuli vyote vizime hapo ndio watatoa tena sidhani kama ni mwezi huu..
Kumekucha mkuuameen
Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.wanao faidi resource za nchi alizo umba Mungu ni wachache kwakweli kwakivuli cha sheria na madaraka.
Nimenyosha mikono kwa Taifa Tanzania,
Kama hakuna kazi serikarini busi waturuhusu kila mtu avamie sehemu za Madini tukachimbe wenyenye unachokipata ndo liziki yako na pia sehemu za maziwa mito milima mabonde bahari mti aridhi zenye rutuba tukafanye shughuli zetu kwa uhuru kila aliye umbwa na Mungu kwa dunia hii afaidi mema ya nchi yake!
we nae toka uotee udereva umekua motivesheno spika.bongo kazi kwelikweli 😆 😆Pole ila tii sheria bila shuruti hicho unachokiomba hakiwezekani na ukikaidi sie watumishi wa umma tutakushughulikia kulingana na sheria iliyowekwa na jamhuri. Timiza vigezo vya ajira practice your carrier utatoboa tu usahili hata kama wewe ni mtoto wa mkulima.