Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 47,104
- 122,554
Mkeka wa watu zaidi ya 200, upo na umepostiwa jana.Yah Jana saa nne IT aliweka.mkeka tofauti na huu akaufuta ndo amekuja kuupost huu leo.
Ulikuwa na watu zaidi ya 200
Wahusika Hongereni sana, mnaenda Masijala mkiwa na Tabasamu kabisa tofauti na siku ya Oral mlipopita pale nje (Masijala) ambapo presha ya mkando ilikuwa juu