Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 47,104
- 122,555
Mambo ya Status hata kama yana maana yake, binafsi nakushauri uendelee na mishe zako wala usihangaike nazo kabisa.Wakuu na vijana wenzangu wasaka asali, Kijana mwenzenu nilichoka private sector na kuhamasishwa na thread hii ya JF kutafuta ajira serikalini.
Kwa mara ya kwanza application yangu ikafanikiwa na kuitwa kwenye usaili pale Udom (written), licha ya nyomi na baridi ya kufa mtu Mungu akanisaidia kuitwa na oral pale Rose migiro.
Swali langu, Acc yangu kwenye Web na App vinasoma SELECTED for Oral.. ila nataka kufahamu kama vina uhusiano wowote na oral niliyopiga?
Mwisho nawatakia heri na baraka wasaka asali wote.. Mungu ni mwema tuendelee kusubiri maana ni Mwaminifu na humpa kila amwombaye. Amen.
Baki tu kufuatilia PDF ya placement kuanzia miezi 3 mbele tangu tarehe uliyofanya oral.