Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Pole mkuu jipange kwa Interview zijazo. Mara nyingi Matokeo yanaanza kuwekwa kweny account yako.
 
Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
Pole sana mkuu...Mungu ni mwema atakupigania usikate tamaa bado mapema watu tunaingia oral zaidi ya mbili tunaaambiwa database expire..Ila bado hatukati tamaa tuna imani ipo siku yangu inakuja
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
nyani mzee nakuangalia tu,pole mkuu
 
Kichwa lazma kikuume ukitaka usitake mwenzako ulie ajiriwa nae sawa yeye yuko TCRA ww upo halmashauri ya tunduma huko ndani ndani ,mwenzako anavuta parefu ww siku zote kishahara mkia hakuna hata posho alaf unasema kichwa kisikuume 😅😅sio fair kabisa.
ridhika na ulichonacho na sis ambao tuko mtaani mwaka wa 6 tusemeje wakat tulomaliza nao wameajiriwa
 
Wakuu kwema?? Hii imekaaje wakuu tumepiga written leo utumishi lakini kwenye account tumeandikiwa not selected wakati PDF la marks hawajatoa hii imekaaje asee na paper kiukweli ilikuwa normal tu na oral ni baadae leo samoja asubuhi hii imekaaje au Kuna mtu humu alishakumbana na hii Hali kwanini wasitoe PDF la marks???????
Hiyo status imebadilika pote kwenye app na web ?
 
Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
Pole sana, mdogo wangu alipigwa hizi not selected for oral interview hadi akakata tamaa na ilifikia hadi mtoto wa aunt yangu akawa anamtania binti wa not selected maandishi mekundu upo lakini selected for oral moja tu ilimpa kazi sa hivi yupo tra simiyu huko...na alipiga interview nyingi sana tangu 2019 kaja kupata 2023 hivyo usikate tamaa kiongozi haya mambo yanaumiza sana hata akiwa ndugu yako wa karibu anapitia.....
 
Nashukuru saana mkuu Kwa kunitia moyo
 
Daaaaah hakuna kipindii niliumia Sana kama kuona status NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW wakatii nimetumia pesaa karibiaa lakii mbilii kusafiri na kukaa Dodoma,nimesomaa kwa zaidii ya miezii miwilii,it was so painful for me, Namuomba Mungu anisaidiee siku moja nilambe asali nisahau Yale maumivu
I assure you, usikate tamaa endelea kupambana.. utatoboa..cha msingi jifanyie tathmini ni kipi kilikufanya ukashindwa kupenya kwenda oral?
 
Jamani Mwifwa Twinawe na wengine na naomba kuuliza swali mwajiri anapokuambia urudi nyumbani baada ya kureport kazini alafu mwezi na wiki vinakatika bila kuitwa hii inakuwa na tafsiri gani?
Atakuita akimaliza taratibu za ajira yako.

Kuwa na subira, wewe tayari ni mtumishi wa umma. Wengine walipokea hadi mishahara ilihali wakiwa bado wapo nyumbani baada ya kuambiwa watapigiwa simu
 
Back
Top Bottom