Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hizi

Nafasi 300+ Si kanakwamba hazikuwepo ila walikuwa wanajivuta tu kupeleka psrs, wamesikia wameruhusiwa kuajiri ndo wanatoa tangazo tena kwa msisitizo for internal only. Hii bongo yetu kazi sana.
Yah ni kweli gaps zilikuwepo ila baada ya kusikia taasisi ziajiri zenyewe na Bunge kugongelea msumari swala la wanaojitolea ndio NSSF wameamua kuweka mambo hadharani, ni shida kwa kweli, maana wadau walikuwa wanaziulizia sana nafasi za kazi za hii taasisi kumbe behind the scene watu kibao takribani 300 walikuwa wanajitolea huko. na hapo bado PSSSF nao muda si mrefu wataibuka.
 
Kuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana
Mmh kuna vitu unashindwa ata kuuliza yaan majibu unakua unayo tayar sasa kwa izo nafasi na izo condition zao ni......dah au basi tu, Ila jobless naamin tusiokuwa na connection hatukati tamaa PSRS ndo chaguo letu Ipo siku tutalamba asali kupitia wao
 
Chuma hicho
 

Attachments

  • Screenshot_20230917-184908.png
    Screenshot_20230917-184908.png
    158.5 KB · Views: 5
hebu mwenye picha ya masjala ya wazi atume maana wengine tunaisikiaga tu..
mtu anaweza cheka, ila pdf yenye page 12 bado huoni jina lako ni msaala wazee.

mm nimepiga agro economics
unaweza ona wachumi na agro officer wanachomoka kwenye hii mikeka lkn uhalisia pia serikali inasomba sana watu wa certificate na diploma

kila mkeka unaona ni afsa kilimo daraja la 3, agro field officer tu. while agro officer na mchumi ni mmoja or wawili kwa pdf nzima . kitaa njaa kali sana

sijui kwa kada zenu wenzangu wanachukua kwa mfumo gani
 
Wakuu mzigo wa nafasi za kutosha za kazi NSSF
National Social Security Fund (NSSF) as part of our commitment to encourage growth and
development within the Fund, we are excited to announce 392 internal job opportunities
available for all Fund’s employees with specific task contracts. Only candidates who are in
specific task contract term within the Fund should apply
 
Back
Top Bottom