captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 759
- 1,697
Mmh kuna vitu unashindwa ata kuuliza yaan majibu unakua unayo tayar sasa kwa izo nafasi na izo condition zao ni......dah au basi tu, Ila jobless naamin tusiokuwa na connection hatukati tamaa PSRS ndo chaguo letu Ipo siku tutalamba asali kupitia waoKuna pdf la nafasi 300+ za kazi NSSF ila ni internal job opportunities kwa wanaojitolea na wenye temporary contract tu. Madhara ya taasisi kujitegemea sasa yanaanza rasmi kuonekana