HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naona vijana baada ya kulamba asali uzi unazidi kudorora shuhuda haziletwi tena humu kulikoni. Mikeka imekuwa mingi kiasi kwamba mnaishiwa pawa au hali ikoje huko
Kazi wamezirepost we kaangalie tuombe upya!
 
Huyu ni wakitambo Tena mwalimu maana ndo huko kuna matahira wengi kupita kada zote hata wapishi wanajitambua

Mm mwenyw mwalimu lkn hawa ndugu zetu sijui tatizo ni nini
Yani nimecheka mpaka nimepaliwa😂

Kazi ni nyingi bro watu wamehaha😆

Hebu acha wachanganyikiwe kdg😁
 
Ndugu Titus3652 naomba kukujibu, barua unaandika kwa kiswahili Au kiingereza chaguo ni lako pia usome maelekezo kule mwishoni utyaona mwaya, sampo ya barua ya kazi gani unaomba?

Angalia sample hizi, anuani kasome kwenye tangazo ipo..
 

Attachments

  • 90BFA81D-C732-4241-B6F6-044C5D023275.jpeg
    90BFA81D-C732-4241-B6F6-044C5D023275.jpeg
    104 KB · Views: 32
  • 8E02E975-115A-4F78-8B3E-018E2F496643.jpeg
    8E02E975-115A-4F78-8B3E-018E2F496643.jpeg
    105 KB · Views: 26
  • DA26B647-2AFD-42E7-A88A-F0C09AA46E17.jpeg
    DA26B647-2AFD-42E7-A88A-F0C09AA46E17.jpeg
    55.5 KB · Views: 37
Sijajua

Katika screenshot hii, mtu ameuliza:
"hivi qualifications za TGS E ni zipi?"
Kisha mtu mwingine amejibu kwa kifupi: "Degree".

Jibu hilo ni sahihi lakini si kamili.

TGS E (Tanzania Government Scale - E) ni ngazi ya mishahara serikalini ambayo mara nyingi huhusishwa na:

  • Waajiriwa wapya wenye Shahada ya Kwanza (Bachelor’s Degree) kutoka vyuo vinavyotambuliwa.
  • Awe amesajiliwa kwenye bodi husika (kwa taaluma zinazohitaji usajili).
  • Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au ana cheti cha exemption.
  • Mara nyingi huhitaji umri usiozidi miaka 45 kwa waombaji wapya serikalini.

Hitimisho:
Jibu la “Degree” ni sahihi lakini limekosa maelezo ya nyongeza kama vile usajili wa kitaaluma, cheti cha JKT, na masharti mengine yanayohusiana na ajira serikalini.
Jibu lako limekaa ki Chat GTP
 
Huyu ni wakitambo Tena mwalimu maana ndo huko kuna matahira wengi kupita kada zote hata wapishi wanajitambua

Mm mwenyw mwalimu lkn hawa ndugu zetu sijui tatizo ni nini
Wewe ni mshenzi sana. Unawezaje kukosa heshima kwa walimu wako.
 
Kwa hiyo mumefanikiwa ku apply au laa.
Jaribu usiku wa manane , traffic inapungua.

KAZI njema
 
Ndugu Titus3652 naomba kukujibu, barua unaandika kwa kiswahili Au kiingereza chaguo ni lako pia usome maelekezo kule mwishoni utyaona mwaya, sampo ya barua ya kazi gani unaomba?

Angalia sample hizi, anuani kasome kwenye tangazo ipo..
Ila kwa mhitimu wa Shahada inapendeza ukiandika barua kwa lugha ya Kiingereza. Mimi binafsi sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi kwa Kiswahili. Japo barua ya kupata Kazi niliandikiwa kwa Kiswahili.
 
Ila kwa mhitimu wa Shahada inapendeza ukiandika barua kwa lugha ya Kiingereza. Mimi binafsi sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi kwa Kiswahili. Japo barua ya kupata Kazi niliandikiwa kwa Kiswahili.
Uliandikiwa? Anyways kila
Mtu na mtazamo wake mi huwa naandiKa lugha zote, itategemea na tangazo litakavyokuja! kuna wengine wanasema bora ya mkono kuliko kutype!
 
Uliandikiwa? Anyways kila
Mtu na mtazamo wake mi huwa naandiKa lugha zote, itategemea na tangazo litakavyokuja! kuna wengine wanasema bora ya mkono kuliko kutype!
Kitu pekee ambacho nilikuwa naandika kwa mkono ni saini peke yake.
 
Back
Top Bottom