makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Amen 🙏My God give you that which you desire.
Amen 🙏My God give you that which you desire.
Hongera Sana Mkuu kikombe cha asali kila mtu atakilamba🙏Wakuu, Nimelamba asali.
Kama hadi mimi nimepata, amini na wewe pia utapata tu. Kwasababu kwenye ile oral hata sikumbuki vizuri maswali nloulizwa (Honestly).
Hii thread ni "Devinely Inspired." Abarikiwe alieianzisha.
Wanamwaga pdf kama mvuaWatu wa Afyaa 💥💥💥🚨 PSRS Leo wanawafurahisha majobless
Mkuu kipi umetangulia kukipata kati ya update ya barua kwenye akaunti yako na PDF?, na je, vimepishana kwa muda gani?Atimae Leo Niko hapa kumshuhudia Mungu ukuu wake atimae nimelamba asari msikate tamaa wapambanaji Sina hata mda MREFU kwenye huu uzi
Mkuu kipi umetangulia kukipata kati ya update ya barua kwenye akaunti yako na PDF?, na je, vimepishana kwa muda gani?
Hongera mkuuAtimae Leo Niko hapa kumshuhudia Mungu ukuu wake atimae nimelamba asari msikate tamaa wapambanaji Sina hata mda MREFU kwenye huu uzi
Nataka kujipa moyo😆Unataka kupima jambo gani mkuu ?
Asante sana mkuu, zamu yako yaja.Hongera Sana ukawe mtumishi mwema kwa umma👏
Asante mkuu, Mungu ni mwema wakati utafika tu.Hongera sana mkuu .Mungu atufanyie wepesi na sisi wengine inshallah
Bado sijajua mkuu, mpaka nipeleke barua kwa muajiri, halafu yeye ataamua.Kituo cha kazi wapi
Sijajua timing yangu ilikuaje, ila vimefika vyote kwa pamoja.Mkuu kipi umetangulia kukipata kati ya update ya barua kwenye akaunti yako na PDF?, na je, vimepishana kwa muda gani?
Hakika mkuu, ni swala la muda tuu.Hongera Sana Mkuu kikombe cha asali kila mtu atakilamba🙏
Yeah mkuu. Mungu akupe na wewe aisee.kila la kheri mkuu bahati ilioje umekaa muda mfupi baada ya oral..
Hizi habari zinafurahisha sana, hongera sana mkuu mdogomdogo mpk wote tulete ushuhudaAtimae Leo Niko hapa kumshuhudia Mungu ukuu wake atimae nimelamba asari msikate tamaa wapambanaji Sina hata mda MREFU kwenye huu uzi
Waendelee na huo mwendo tule wote mema ya nchiWanamwaga pdf kama mvua
Daah hongera Sana Mkuu ngoja na sisi tuendelee kusubiri intake ijayo👏Atimae Leo Niko hapa kumshuhudia Mungu ukuu wake atimae nimelamba asari msikate tamaa wapambanaji Sina hata mda MREFU kwenye huu uzi
Mkuu hongera Sana huu mwezi wa asali tuu👏👏Mungu ni mwema kila wakati katuona na sisi , hatimaye nimelamba asali