HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna makosa unaweza wacheki wakakupa ufafanuzi may be
Ah kwanza hy kazi ynyw nili-force kuiomba mana haikuwa kwenye qualifications zangu moja kwa moja japokuwa zinaendana na qualifications zangu.

Juzi kati niliona wameitwa Producer kwa level ya degree, sasa cjui ndo mana hao wa diploma wamepigwa panga juu kwa juu
 
Wakuu, wale wenzangu wa Telecom & IT bila kuwasahau wataalamu wa umeme, tayari mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA) wameita watu kwenye usaili. Tuanze kula shule. Wakati ni ukuta
hivi sehemu ya kufanyia writen wanaposema vituo vya kufanyia usahili dodoma,mbeya,arusha na zanzibar ndo vituo gani hivyo au watavitangaza baadae
 
sasa tunajuaje kama written ni online au makaratasi
Utajua kwa kuangalia tangazo husika la Sahili kama wamesema mtiani wa mchujo utakuwa ni kwanjia ya mtandao basi ujue ni online lakini wakikuambia kwamba ni mtiani wa mchujo kisha wakasema kwamba nakili namba yako ya Usahili ujue apo ni kwenye karatasi (angalia tangazo namba kumi na mbili apo chini)
Sahili za MDAs and LGAs zilizofanyika wametumia karatasi ivyo ni multiple choice kwaiyo unashade au kuzungushia jibu sahihi lakini utakiwi kukalili so unapaswa kujiandaa vizuri chochote kinaweza kutokea
Screenshot_20250410-202542.png
 
Back
Top Bottom