HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
WHii walishaita tayari, baadae wakaitwa Accuntant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
Imebidi niangalie status yake ajira portal inaonesha "received", kama wameita si inabidi isome shortlisted au?
 
Hii walishaita tayari, baadae wakaitwa, a Accountant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
Marekebisho kidogo, post yake ni "Accounts assistant I" sio "II". Ni diploma
 
Hii walishaita tayari, baadae wakaitwa Accountant II, Kisha wakamalizia na Accounts Officer II ambao Oral imefanyika juzi jumamosi tarehe 5/4/2025 Dodoma Sekondari.
Kama kitu huna uhakika nacho ni Bora usijibu.
Wahasibu Diploma & Certificate bado hawajaitwa kwa interview.
 
Kama kitu huna uhakika nacho ni Bora usijibu.
Wahasibu Diploma & Certificate bado hawajaitwa kwa interview.
Hao sio Wahasibu, anayepaswa kuitwa Mhasibu ni CPA ( T ) holder Kwa mujibu wa Bodi ya Uhasibu NBAA. Hawa Diploma & Certificate wanaitwa wasaidizi wa Hesabu, Wale wa Advanced Diploma/Degree wanaitwa Afisa Hesabu.
 
Namba wamesha toa mkuu lakini.
Ni sawa Mkuu ndio maana umeambiwa subiria kwa sababu ndani ya Mkoa Kuna vituo zaidi ya kimoja ivyo mtapangwa kutokana na idadi ya watu na kada husika ivyo unaweza kujua kituo chako week moja kabla ya saili kitu Cha muhimu Wewe endelea kujiandaa tuu mengine waachie utumishi
 
Owkey mkuu shukrani kwa ufafanuzi..🙏
 
Wakuu kuna hii kitu nimeshindwa kuelewa.

Hii kazi ilihitaji mtu wa diploma na niliomba na ikaandikwa received, juzi kati naingia nakutana nayo ety sina degree husika 😂

Screenshot_20250407-171945.png
 
Wakuu kuna hii kitu nimeshindwa kuelewa.

Hii kazi ilihitaji mtu wa diploma na niliomba na ikaandikwa received, juzi kati naingia nakutana nayo ety sina degree husika 😂

View attachment 3297109
Huwa inatokea Mkuu mfano zile za Uwalimu asa ufundi. Kilimo na mifugo walikuwa wanataka bacherol lakini wengi walikuwa not shortlisted kwa kigezo Cha kukosa diploma ya fani husika
 
Back
Top Bottom