HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu
Kuna yeyt alie apply nafas zile za Mamlaka ya viwanja vya ndege , za December mwak Jana. Je kuna update yeyote mtu kapata ?
Mkuu hao ww unaulizia kazi za mwezi December wakati kuna mpaka za mwezi august kwa hao hao TAA na Taasisi nyingine nezo mpaka leo watu hawajaitwa usahili na wala hawajui hatima zao wataitwa lini 😀, kikubwa watu tuendelee tu kunywa mtori nyama tutakuja kuzikuta chini kwa mateso wanayo wapa jobless hawa jamaa..🤔 unaomba kazi mpaka unasahau kama ulisha omba kazi kwa muda utakao subiria usahili wao.
 
ukiona mavimulimuli yanavokonyeza unaweza kuchanganyikiwa fungua sasa😆😆😆
 
Kuna ajira za afya zimetoka Leo, sasa utashangaa wanaitwa interview kabla yetu sisi wa mwezi wa nane dah
 
  • Dislike
Reactions: jb_
Kuna ajira za afya zimetoka Leo, sasa utashangaa wanaitwa interview kabla yetu sisi wa mwezi wa nane dah
Utumishi sasa hivi ni kikundi cha uchekeshaji Tz kilichojivika ngozi ya Taasisi.......
Hawa watu zaidi wanapeana zawadi kubadirishana Taasisi wafanyakazi Wanajua hakuna Kiongozi anaweza kuwafanya lolote ndo maana wanafanya wanavyotaka...
 
Wanafanya kufuru maana hakuna wa kuwa uliza chochote
 
Jiandae vizuri kipind hiki cha kabla ujaitwa soma kila kitu
naongezaje bidii na post hakuna na interview ndo kama unavoona miezi sita hola
Muda unakuja ngoja waalimu waishe nazan week mbili kabla ya waalimu kuisha ratiba itakuwa tayari mkuu. Hakuna kukata tamaa umetumia miaka mingi kusoma shule mkuu
 
Jiandae vizuri kipind hiki cha kabla ujaitwa soma kila kitu

Muda unakuja ngoja waalimu waishe nazan week mbili kabla ya waalimu kuisha ratiba itakuwa tayari mkuu. Hakuna kukata tamaa umetumia miaka mingi kusoma shule mkuu
haya bana ngoja tuone.
 
Nimeona matokeo ya usaili wa awali na maendeleo ya jamii yaani watu 900 wamepita kwenda oral watu wa procurement nao ni wa kutoshaa kuna kozi wanaenda kucheka sana aisee.

Pdf itakuwa inatoka na 30 mb kama za afya
 
hao maendeleo ya jamii kuna muda walichukuliwa kama buku hivi naona zali limewarudia tena
 
Back
Top Bottom