HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
wenye degree zenu za ITna connections muende usail wa migration huko January 15 sema ajira za jeshi ni ubaguzi mwingi sana aisee awa umbwa mamaaaaaeee
 
Vijana bana
Yani kwa sababu ya haraka zako ndio unataka utumishi waache kuajiri?
Hivi hizo taasisi mnazotaka ziwe zinaajiri zenyewe enzi zile zilipokua zinaajiri zenyewe mlikua mmezaliwa?
Shukuruni Mungu sana utumishi wako fair sana coz kila mtanzania anapata equal chance ya kuajiriwa ilimradi ufaulu interview zao tu.changamoto ndogo ndogo hazikosekani kila mahali.

Fact 100%.
 
Wewe unaweza subiri interview miez nane mpk tisa?
 
Hata TRA sidhani kama watarudi tena kwa hawa waseng€ ,NSSF pia sioni hata wakijaribu ,wapuuzi hawa wa utumishi wabaki na vijiwe uchawi , incompetence na Majungu vya halmashauri huko
Permanent Secretary,
Presidents Office,
PSPR,
Utumishi House/Asha Rose Mwigiro Building,
P.O. BOX ......
DODOMA.

Barua hii imewafikia Mwaka mzima wamekaa na barua hakuna interview hakuna nini, pongezi kwao
 
Vijana bana
Yani kwa sababu ya haraka zako ndio unataka utumishi waache kuajiri?
Hivi hizo taasisi mnazotaka ziwe zinaajiri zenyewe enzi zile zilipokua zinaajiri zenyewe mlikua mmezaliwa?
Shukuruni Mungu sana utumishi wako fair sana coz kila mtanzania anapata equal chance ya kuajiriwa ilimradi ufaulu interview zao tu.changamoto ndogo ndogo hazikosekani kila mahali.
Punguza kiwango cha ufala mkuu, kitu km hakijakugusa haujui kinauma kiasi gani wewe unaweza kusubiria interview mwaka mzima?
 
Utumishi ishakuwa upuuzi ,ni bora tu Taasisi waanze kuajiri wenyewe moja kwa moja ijulikane moja ,nilikuwa nawatetea sana utumishi humu ,ila kwa huu ujinga hamna namna ,huu ni useng€
Taasisi waajiri wenyewe atakayepata na apate atakaye kosa maisha yaendelee ,
Hakika kabisa mimi nakuunga mkono huu ni usengenyaji kabisa utumishi wajitafakari mara 6 sio kwa maswaibu haya yanayoendelea watu wanakula msoto mkali mno
 
Punguza kiwango cha ufala mkuu, kitu km hakijakugusa haujui kinauma kiasi gani wewe unaweza kusubiria interview mwaka mzima?
Kwamba wewe tu ndio wa kwanza kupita utumishi mpaka uwe na harakaa?
Interview tu unalia,utumishi wa umma utauweza kweli?
 
Fact yanyoko wewe matakoyako mnatia hasira nyinyi viazi ndio mnafanya hao wahuni wanabweteka

Tuliza panic jobless mwenzangu, SI Kila lawama ni za PSRS . Lawama peleka kwa tahasis usika kwa kutokua na uharaka kwa watu wao.

Ngojea nikuulize kitu jobless mwenzangu:
1).iv unadhani bila ya PSRS zile post za TCRA tungeweza ata kuziona?
2).iv unadhani bila ya PSRS zile post za BOT ungeweza ziona?

PSRS imejitahid sana kuleta usawa wa ajira hasa kwa sisi ambao hatuna connection uko juu.

Simaanishi PSRS awana mapungufu la hasha, ila namaanisha ni mkombozi sana kwetu tusiokua na connection katika kupata ajira na kuchelewa kuitwa kwenye interview ni tahasis husika na sio PSRS.
 
MDAs & LGAs unawajua ni akina nani? Huu unatoboa mwaka unakatika mtu ameombwa interview ipo pending tu
 
Ukisha fanya oral inabidi uwe unafatiria kila PDF ? au kuna njia nyingine ya kujua umepata kazii
 
1.Fuatilia PDF.
2.Usikae mbali na huu uzi.
3. Uwe na Anuani inayofanya kazi na uwe unapita posta mara kwa mara.
 
MDAs & LGAs unawajua ni akina nani? Huu unatoboa mwaka unakatika mtu ameombwa interview ipo pending tu

Ukiona ivyo ni huitaji wa tahasisi usika sio wa haraka, mfano Mimi Kuna tahasisi niliomba mwezi wa 10 na nyengine mwezi wa 8 ya mwezi wa 10 nimeitwa na kupiga paper tayri ila Ile ya mwezi wa 8 mpka mda huu bado sijaitwa hapo utasema tatizo ni PSRS? Hata izo za MDAs &LGAs nazo ni ivyo ivyo pia.
 
Back
Top Bottom