Dr Ndlozi
Senior Member
- Sep 17, 2024
- 110
- 140
Swali la kwanza ni kutumia python au R ku query data kutoka kwenye dataframe utakayotengeneza kutoka kwa dataset watakayokupa.Poleni sana kwa changamoto iliyotokea, upo muda na wakati sahihi wa kuinuliwa na Mungu. Samahani kama ulipiga practical ya data analyst naomba msaada wa maswali yake
Swali la pili ni SQL unatumia mysql au postgres ku query data kutoka kwenye database utakayotengeneza na tables utakazotengeneza au ku import kutoka kwa sheets watakazokupa
swali la tatu ni excel, mambo ya pivot table, visualisation, conditional formatting, vlookup.