Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 324
- 647
Hivi wakuu Kuna post ilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post ki kimya