Mwanjangle
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 294
- 331
Hivi mishahara ya tamisemi ni sawa na wizara au kunakuzidiana? Nimeona MD mmoja uko insta. Anadai hawezi kwenda kuripoti kazini kwasababu mishahara wizara kamzidi tamisemi parefu. Na kazi tamisemi wanapiga sana vile vile malupulupu kama extra duty tamisemi hayapo, je ni kweli??Day 1 Dar na Moro
Day 2 Dodoma na Tanga
Day 3 Pwani na Arusha
Day 4 Kigoma,Iringa na Mbeya
Day 5 (kesho) ?
Wazee wanaosubiria asali ya Tamisemi tucheze na mikeka kidogo