El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,080
- 6,515
mbona cha tanapa kimezima mapema hivi
Nadhani hawakupaswa kupewa hili jukumu la afya na walimu limewaelemea sana sasa kila mahala panavuja.Psrs ni DHAIFU.
niko IG nimeona watu wa halmashauri wameanza kuitwa kazini na hizo saili wamezisimamia wao.
Tutarajie kuona mikeka mingi ya halmashauri watakaoiokota utumishi waonekane tu wameajiri.
Huku database wameiacha.
Kuita watu kazini wameacha.
Nimewawekea chini mkeka wa Njombe DC
Noma sana afu hawa wamefanya juzi tuPsrs ni DHAIFU.
niko IG nimeona watu wa halmashauri wameanza kuitwa kazini na hizo saili wamezisimamia wao.
Tutarajie kuona mikeka mingi ya halmashauri watakaoiokota utumishi waonekane tu wameajiri.
Huku database wameiacha.
Kuita watu kazini wameacha.
Nimewawekea chini mkeka wa Njombe DC
wajanja si ndiomaana wamezima cha juu kabisa ili tuwe attention.hapo kifuatacho ni bakora za pdf za watendaji🤣 🤣Psrs ni DHAIFU.
niko IG nimeona watu wa halmashauri wameanza kuitwa kazini na hizo saili wamezisimamia wao.
Tutarajie kuona mikeka mingi ya halmashauri watakaoiokota utumishi waonekane tu wameajiri.
Huku database wameiacha.
Kuita watu kazini wameacha.
Nimewawekea chini mkeka wa Njombe DC
Bakora za watendaji zitafululiza sana.wajanja si ndiomaana wamezima cha juu kabisa ili tuwe attention.hapo kifuatacho ni bakora za pdf za watendaji[emoji1787] [emoji1787]
Ndo swali lililoanzisha Uzi hadi leo hatujapata majibu yake?Noma sana afu hawa wamefanya juzi tu
Mbaga hasikusikie.Nadhani hawakupaswa kupewa hili jukumu la afya na walimu limewaelemea sana sasa kila mahala panavuja.
acha tu aisee na mahalmashauri yalivyo mengi mbona tutakomaBakora za watendaji zitafululiza sana.
Nimecheka sana mwendo wa halmashauri ya mpwimbe
Mbaga hasikusikie.
Wewe unafanyishaje walimu laki 2 kupata elfu 10 huu ni upumbavu wa karne.
Wamelemea.
Wametoboka wametoboka tena.
Wamepwaya wamepwaya Tena
Nithibitishieni hapo wanapozingua psrs kwenye upande wa afya na ualimu.Nadhani hawakupaswa kupewa hili jukumu la afya na walimu limewaelemea sana sasa kila mahala panavuja.
Lini ulithibitisha kaka sikuwepoNithibitishieni hapo wanapozingua psrs kwenye upande wa afya na ualimu.
Walimu kibali mwezi wa nne.Nithibitishieni hapo wanapozingua psrs kwenye upande wa afya na ualimu.
Sasa kama bado wapo kwenye process zao, ww unatakaje?Walimu kibali mwezi wa nne.
Watu wameomba wa sita.
Mpaka leo hakuna usaili.
Kwahiyo wewe umefundishwa na watu wasio na akili? Heshimu waliokuongoza kufika ulipo sasa. Akikosea mwalimu au polisi au mwanajeshi au mwanasheria au mwasibu mmoja usihukumu wote kwa kosa au uzembe wa mtu mmoja kisa anataaluma flan basi ionekane watu wete wenye taaluma hiyo nao ni wakosaji wa hilo kosa.Sasa kama bado wapo kwenye process zao, ww unatakaje?
Guys, mnalalamika Kwenye vitu vya kipuuzi mno aisee
N mara ngapi mnalalamika Then what next?
Kwan hy idadi cjui laki n mara ngapi wanadeal nao, kwahy hizi za ualimu na afya ndio imekuwa story? Ndo mana waalimu mnadharauliwa mana akili hamna.
Hakuna mahali nmewadharau waalimu.Kwahiyo wewe umefundishwa na watu wasio na akili? Heshimu waliokuongoza kufika ulipo sasa. Akikosea mwalimu au polisi au mwanajeshi au mwanasheria au mwasibu mmoja usihukumu wote kwa kosa au uzembe wa mtu mmoja kisa anataaluma flan basi ionekane watu wete wenye taaluma hiyo nao ni wakosaji wa hilo kosa.
We jamaa na ww usibishe psprs mzigo umekuwa mkubwa wamepwaya kwa kiasi kikubwa mnoo mzigo ni mkubwa sana wameshindwa kuendana na muda wangepunguza mambo baadhi hizi za halmashauri sijui watendaji waendesha ofisi wangeachaSasa kama bado wapo kwenye process zao, ww unatakaje?
Guys, mnalalamika Kwenye vitu vya kipuuzi mno aisee
N mara ngapi mnalalamika Then what next?
Kwan hy idadi cjui laki n mara ngapi wanadeal nao, kwahy hizi za ualimu na afya ndio imekuwa story? Ndo mana waalimu mnadharauliwa mana akili hamna.
Achana na hichi kichwa kinapenda ubishi sana .We jamaa na ww usibishe psprs mzigo umekuwa mkubwa wamepwaya kwa kiasi kikubwa mnoo mzigo ni mkubwa sana wameshindwa kuendana na muda wangepunguza mambo baadhi hizi za halmashauri sijui watendaji waendesha ofisi wangeacha