HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii oral kufanyika wilayani na baadhi ya wasaili kutoka wilaya hiyohiyo haijakaa vizuri....Assume mnashindana na mtu anajitolea kwenye taasisi flani na Hr au mkuu wa taasisi yupo kwenye panel hiyo,we mgeni unakuwa na kazi ya ziada
Huyo mkuu wa taasisi au HR sio final decision maker kwenye usaili. Panel huzingatia vigezo vingi na haina upendeleo.
 
Hii oral kufanyika wilayani na baadhi ya wasaili kutoka wilaya hiyohiyo haijakaa vizuri....Assume mnashindana na mtu anajitolea kwenye taasisi flani na Hr au mkuu wa taasisi yupo kwenye panel hiyo,we mgeni unakuwa na kazi ya ziada
😁 😁
 
Tanzania ni worse na too bad hata serikali yenyewe haijawahi admit kwamba hili ni janga kubwa sana kwa vijana wa nchi hii kwa sasa kuliko kitu kingine chochote , Tz ajira ni ngumu na ujasiriamali pia si lelemama ,mpaka kivumbi kitimke haswaa
Mtu akikupa visa ya Marekani na kubaki Bongo hapa wewe utachagua option ipi ?
Si bora hata kwa Trump unaweza kimbizana na gigs huko kwenye warehouses za Amazon ,Walmart nk
Njoo Bongo sasa , madalali tu tunarogana kila siku kusaka riziki ,acha kabisa
Nchi ngumu hii asikwambie mtu
Bongo noma aisee ukipata kazi shukuru Mungu.
 
baada ya oral check rangi ya neno selected kwenye status! kama ni kijani hiyo ni clue ya asali, ila usiweke matumaini sana! kama bado nyeusi jipe moyo!
Hakuna kitu kama hicho, hiyo rangi ya kijani ipo kwa watu wote, kuna watu nawajua wanazo za kijana na bado kazi ile ile bado ikatangazwa kazi na wao kuachwa maana ake n kwamba hata hawakuwepo Database.
 
Back
Top Bottom