Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,861
- 9,691
Psrs ni kuwavumilia tu...interview ya MDA n LGA waliandika nafasi 5, lakini wameita mmoja...yaani wanaita mmoja mmoja
Sio midomo tu...watakupiga majungu uonekane ujui kaziPole mkuu ila ungejua kwenye taasisi kumejaa watu wengi wa mikataba na hao watu ni majeuri hatari kwa sababu wengi wao wanakuwa na connection na watu wa taasisi husika na watu wa mikataba vichomi hatari hasa wakijua ni mtu wa kudumu wanavuta midomo hatari .hivyo ni ngumu sana kupenyeza mtu kupitia PSRS
Hilo ndio balaa usipokuwa makini wanakuingiza chakaSio midomo tu...watakupiga majungu uonekane ujui kazi
Yaan wanalalamika sana alafu wanacholalamikia hakipo...wakipata error kidogo tu wanasema mtandao mbovu..Ila walimu wasumbufu jamani wanaona kama kuonewa kufanya interview yaani wanalia kila mahali
Watazoea tu mbona kada za Afya wengi wanafanya interview psrs.Ila walimu wasumbufu jamani wanaona kama kuonewa kufanya interview yaani wanalia kila mahali
MDA n LGA Programming wanahitajika 15 lakini pia kaitwa 1. 😂😂😂Psrs ni kuwavumilia tu...interview ya MDA n LGA waliandika nafasi 5, lakini wameita mmoja...yaani wanaita mmoja mmoja
Hapo ndio nami nashangaa...MDA n LGA Programming wanahitajika 15 lakini pia kaitwa 1. 😂😂😂
Mfano mkuu?Kuna taasis hazionekani psrs kabisa...
Check sheet hyo zipo nyingi...na mwaka huu psrs wamekomaa na halmashaurMfano mkuu?
Afya tunaomba Tamisemi ,tunaomba Wizara ya afya Tunaomba utumishi.Watazoea tu mbona kada za Afya wengi wanafanya interview psrs.
Inawezekana ametolewa databaseHuyu Dada Laboratory Scientist ajira ya DUCE PDF la tarehe 24/5/2024 usaili alifanya lini?
Mimi nilikandwa hapo lakini Oral hatukuwa na msichana hata mmoja.
Naomba msaada wa specification ya profile photo ya kwenye ajira portal.
Height, width, size kwa maana ya mb na format yake pia2
Database ya academicians ?Inawezekana ametolewa database
Dah !Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.
Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.
Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.
Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu