Casablanca92
Member
- Apr 27, 2020
- 93
- 193
Aisee umempa ushauri mzuri sana bwana Mwifwa Binafsi Mimi nilichukua barua utumishi mwishoni mwa Mwezi wa pili na nikaenda kureport Mwezi wa pili. U can imagine ijumaa ya tarehe 5 may ndio nilipigiwa simu kuitwa kazini. Asijichanganye kabisa kusubiri aende kureport then arudi homeNimesoma majibu yote uliyojibiwa kuhusu jambo lako, mimi nakushauri hivi pia.
Tafuta hela ya kutosha inayoweza kukukalisha kule kwa angalau siku 5.
Ukiripoti waulize watatumia muda gani kukuita rasmi ukaanze kazi, wakikuambia haijulikani ila watakupigia simu, nakushauri urudi nyumbani uje usubiri hiyo simu. Nauli ya Kasulu - Kibaha haiwezi kuwa kubwa na gharama utakayotumia kukaa kule kwa siku angalau 3.
Au kwa kusamaraizi, karipoti halafu rudi nyumbani, nauli ya kwenda na kurudi haiwezi kuwa kubwa ukilinganisha na gharama utakayotumia kukaa kule kwa angalau siku 3.
Reference: Case study.
Kuna mlamba Asali wa JKCI alitoka mkoani akapeleka barua, akaambiwa asubiri kupigiwa simu akakaa Dar kusubiri, zikapita wiki 2 bado hajapigiwa, hadi akakaukiwa mfukoni akaanza kulalamika(alileta uzi humu), tukaanza kumwambia alikosea, alitakiwa kurudi nyumbani kwanza.
Na wewe usije ukafanya hilo kosa.
Duuu!!! Ngoja nilale tuuu...[emoji3547]Aisee umempa ushauri mzuri sana bwana Mwifwa Binafsi Mimi nilichukua barua utumishi mwishoni mwa Mwezi wa pili na nikaenda kureport Mwezi wa pili. U can imagine ijumaa ya tarehe 5 may ndio nilipigiwa simu kuitwa kazini. Asijichanganye kabisa kusubiri aende kureport then arudi home
Acha kabisa kaka. Miezi mi2 plus nasugua benchi baada ya kulamba asali. Sio poa kabisa asikwambie mtu
Hiyo changamoto ya mwisho kwenye mchakato huwa ni ngumu sana kwa wale ambao wanajibeba wao kama wao! Yule ambaye bado anakula kwa shikamoo hawezi kuelewa!Acha kabisa kaka. Miezi mi2 plus nasugua benchi baada ya kulamba asali. Sio poa kabisa asikwambie mtu
Ni miezi 2 tangu kuripoti mpaka kupigiwa simu, je mshahara ulianza kuingia lini na ile posho ya kujikimu uliipata muda gani?Aisee umempa ushauri mzuri sana bwana Mwifwa Binafsi Mimi nilichukua barua utumishi mwishoni mwa Mwezi wa pili na nikaenda kureport Mwezi wa pili. U can imagine ijumaa ya tarehe 5 may ndio nilipigiwa simu kuitwa kazini. Asijichanganye kabisa kusubiri aende kureport then arudi home
Wengi wanamsubiri Casablanca92 ajibu hapo!!Ni miezi 2 tangu kuripoti mpaka kupigiwa simu, je mshahara ulianza kuingia lini na ile posho ya kujikimu uliipata muda gani?
Kutoka sijajua ila kama sii wiki hii basi ijayoItatoka Leo kwel au ndo zitakaa hapo mpaka waajiri watupgie simu 😜😜😜
Kwa hiyo mshahara wa April ulikula ukiwa nyumbani!! Kwa hapo angalau wamekuwa fair. Fedha za kujikimu walikupa za siku ngapi?Mshahara wa mwezi April nilipata. Na fedha ya kujikimu nimepewa Juma3 baada ya kureport kazini
Hahaa namimi mkuu
Kwa kawaida Ile ni per diem ya siku 7 plus nauliKwa hiyo mshahara wa April ulikula ukiwa nyumbani!! Kwa hapo angalau wamekuwa fair. Fedha za kujikimu walikupa za siku ngapi?
Ok sawa mkuu,Mshahara wa mwezi April nilipata. Na fedha ya kujikimu nimepewa Juma3 baada ya kureport kazini
Na mm ase sijui tujipange sahili zijazoHahaa namimi mkuu
Kwa kawaida Ile ni per diem ya siku 7 plus nauli
Kwa kawaida Ile ni per diem ya siku 7 plus nauli
Angalau wamejitahidi kufukia maumivu kwa kukupa mshahara wa April ambao ni haki yako kabisa maana ulisharipoti kazini tayari. Kama utaratibu ukiwa hivyo kuwa unaposubiri kupigiwa simu inahesabika uko kazini hapo ni sawa.Mshahara wa mwezi April nilipata. Na fedha ya kujikimu nimepewa Juma3 baada ya kureport kazini
Usiogope soma vizuri imeandikwa "uripoti kituo cha kazi ndani ya siku 14 toka tarehe ya kupata barua"Wakuu naomba msaada wenu
Barua yangu imeandikwa nmeipokea tarehe 30 mwezi wa 3 badala ya Leo tarehe 11, inanitaka kureport katika kituo Cha kazi ndani ya siku 14 na sehemu niliyopangiwa ni mbali kidogo wilaya ya mji wa kasulu.
Sasa naona siku 14 zinaisha Leo, hii imekaaje wakuu, itakuwa walikosea kuichapa niwarudishie tena??
Huu ni utaratibu wa kiutumishi kwa mujibu wa Government Standing Orders toleo la 2009, na marekebisho yake ya mwaka 2011. Kama hawajakupa unaandika barua kwa mwajiri ukiomba kulipwa posho ya kujikimu baada ya kuripoti kazini kwa ajira mpya. Wala huna haja ya kupoteza muda na maafisa utumishi ukiwadai kwa mdomo!!hii imekaaje wadau mbona taasisi zingine hawatoi?
Pesa ya kujikimu sawa taasisi nyingi wanalipa ila hii ya transportation mbona taaasisi nyingi hazitoi kwa first appointmentHuu ni utaratibu wa kiutumishi kwa mujibu wa Government Standing Orders toleo la 2009, na marekebisho yake ya mwaka 2011. Kama hawajakupa unaandika barua kwa mwajiri ukiomba kulipwa posho ya kujikimu baada ya kuripoti kazini kwa ajira mpya. Wala huna haja ya kupoteza muda na maafisa utumishi ukiwadai kwa mdomo!!
Pesa ya serikali hutoka kwa kuiandikia. Kwa afisa utumishi mwenye roho nzuri huwa mkiripoti tu mnajaza personal particulars halafu anawaelimisha kuhusu stahili zenu na namna ya kuzipata. Kwa kawaida huwa zipo fomu maalumu ambapo utajaza madai yako ya 1. posho ya kujikimu siku 7 kila siku ni sh 100,000/=. 2. Nauli kutoka kwenu hadi kituo cha kazi. Nyumbani kwenu ni kwaq mujibu ya jinsi ulivyojaza kwenye personal particulars. Kama una mke na watoto, na wenyewe wanapatiwa nauli na nusu ya posho ya kujikimu kwa siku hizo saba. 3. Gharama ya kusafirisha mizigo binafsi/personal effects. Hii haipungui tani 1.5. Kati ya hizo tani moja ni kwa parcel rate na zilizobaki ni kwa goods rate.Pesa ya kujikimu sawa taasisi nyingi wanalipa ila hii ya transportation mbona taaasisi nyingi hazitoi kwa first appointmentView attachment 2618260
Sasa sisi ambao hatujajua placements zetu ni lini itakuwaje aisee? Ukijumlisha na huo muda wa kusubiria kuitwa tena si ndiyo balaa na nusu!Acha kabisa kaka. Miezi mi2 plus nasugua benchi baada ya kulamba asali. Sio poa kabisa asikwambie mtu