Mara zote wenye GPA kubwa wanakula ndoige mapema katika usaili [emoji28][emoji28]
Na wala sio choyo na husda [emoji28]
Kuna tatizo la overconfidence kwa wenye GPA kubwa na wale ambao waga wanapata Marks kubwa kwenye usahili wa Written
Ukimkuta mtu ana GPA kubwa sijui waga wanafikiria nini kichwani mwao, ila kuhusu wale ambao wameongoza usahili wa Written najua vizuri kuwa waga wengi wanakula Ndoige sababu ya kujiamini kupitiliza
Mtu written kapata 94 anaona kama vile anajua kila kitu, anajisahau kupiga tena msuri kwenye Oral, me pia nina uzoefu na waliopata Marks kubwa kwenye Written na balaa likanitokea kwenye Oral
ila kwa wale ambao wanapata Marks za discount center wanakuwa hawajiamini kabisa maana mtu alisoma alafu matokeo yanatoka ana 54, anaona mhhh hapa hii Oral sitoboi na Marks hizi
Mfano mzuri ni mie mwenyewe, nilipata Marks kubwa sana kwenye Written hivo nikawa nimechil tu swaaafi sina pressure, kesho Oral me nikaondoka zangu leo mchana kwenda Dom nafika night Kali nalala kesho naamkia kwenye Oral ikiwa sijajisumbua kugusa kitu chochote maana confidence ya Written inanidangaya
Nilichokutana nacho kwenye Oral ilibidi nitoke nikiwa nacheka tu, ikabidi nikatafute Toto la kimbulu nichakate Mbususu Kwanza nijipoze nisije kuondoka Dom bure bure, kisha nikadandia zangu Bus nikateleza kama Nyoka
Hapa nilipo nina uhakika wa 80% Kuwa hizo kazi nitakosa, nipo zangu napiga mishe zangu mdogo mdogo sina ata Moto na placement coz najua kinachokuja
Kwahiyo wazee wa kutafuta ASALI haijarishi Una GPA ya ngapi, ulipata Ngapi Written,as long as bado upo kwenye kinyang'anyilo basi we Kula msuri wa maandalizi kila hatua utakayovuka lasivyo nyuzi za kopondea utumishi humu hazitaisha