Kwanini utawala huu unafumbia macho kauli za kukufuru?

Mbona hakuna shida wao kumsujudia mungu wao mtoa riziki zao.Mapraise team awawezi ishi nje ya mfumo lzm watarudi kusujudu Kwa kuomba msamaha.
 
Hilo andiko la Mungu limeandikwa wapi kwenye biblia?
"Sema lolote na roho yangu itapona"

Kumbe maneno yote ya kiimani kwenye kanisa la Katoliki ni lazima yatoke kwenye biblia! Basi sawa. Mumtangaze basi rasmi kama mungu wenu, ili jambo hilo lifahamike ulimwenguni kote.
 
Hapana sio yote. na hata kama limetoka kwenye biblia kama halijatumika kumrefer Mungu tunayemjua haina madhara yoyote.
Ni kama vile diamond katoa wimbo unaitwa hallelujah watu wakachachamaa, binafsi sikuwaelewa
 
Sio shida kusema hayo maneno shida ni kusema na roho zetu zitapona wakati aponyeshaye roho ni mmoja tu kutoka juu naye ni Mungu
 
Sema neno moja tu Na roho yangu itapona
 
Attachments

  • Screenshot_2019-09-16-14-03-33.png
    Screenshot_2019-09-16-14-03-33.png
    47.1 KB · Views: 14
Sio shida kusema hayo maneno shida ni kusema na roho zetu zitapona wakati aponyeshaye roho ni mmoja tu kutoka juu naye ni Mungu
Nani kasema aponyeshae roho ni mmoja? Roho zinaponywa kwa hali mbali mbali , Kama mtu akinipa milioni mbili sasa hivi naamini roho yangu itapona walai
 
Hakuna wa kukemea kwa maana hilo sio pepo,halafu hizi kauli huwa zinatolewa kama maandalizi ya kuifanya roho iwe ngumu
 
Katika uzinduzi unaoendelea sasa hivi amesikika mbunge Bona Kamori akisema "Mheshimiwa Rais sema neno moja tu na roho zetu zitapona".

Kwa sisi Wakatoliki kauli hii husemwa wakati ambao tunaamini Mungu ameshuka wakati wa mageuzi. Sala hii husomwa kwa Mungu mwenyewe tukiamini neno lake moja tu linaweza kuponyesha roho zetu.

Swali la kujiuliza ni je, huyu mama amefikia hatua ya kumpandisha Magufuli kufikia kumlinganisha na Mungu!? Kwanini kauli hizi za kukufuru zinafumbiwa macho na Rais mwenyewe ambaye ni mkatoliki na bila shaka anafahamu madhara ya kauli kama hizi!? Kwanini viongozi wa dini wapo kimya kukemea huu ujinga unaomea kwa kasi kubwa miongoni mwa wasaka tonge hawa wa kisiasa?

Pia kauli ya Makonda kuwa Rais pekee ndio mwanaume mwenye ujasiri nchi hii inamaanisha nini?
wanacheza na akili za jamaa anapenda sifa kuliko çhochote
 
Utii ukizidi sana unakua uoga nao huzaa chuki na kujipendekeza na mwisho wake ni mauti - J.K.Nyerere

Yeye ndo muasisi wa nadharia hizi za utii alizicopy Kwa Swahiba wake dikteka Mao wa china.Speech zake nyingi alizotoa baada ya kuwa nje ya box nyingi ukizisikiliza zilikuwa zikiponda aliyoyafanya aliposhauriwa aligeuka jiwe alikuja kuelewa akiwa keshachelewa.Thus akaruhusu vyama vingi,demokrasia,Uhuru wa maoni,nk,ambavyo havikuwepo zama za utawala wake.Ukishatoka nje ya mpira ndipo uyaonapo makosa yako.Watawala wengi wa kiafrica huwa Na akili baada ya kuwa nje ya mfumo.Usijeshangaa stone akawa MWALIMU mzuri sana wa demokrasia baada ya kuachia siti ya daladala.
 
Hivi huyo mama si ndio yule alipigwa divorce na mumuwe akamkataza asiendelee kutumia jina lake?
Sasa kama MTU anatabia kama yule wa Babeli unadhani anawinda nini hapo kama sio kumbypass mama Jesca?
Ukiona mume kamshindwa Mwanamke mwenye kazi kama ubunge ujue huyo ni zaidi ya kimeo
 
Nani kasema aponyeshae roho ni mmoja? Roho zinaponywa kwa hali mbali mbali , Kama mtu akinipa milioni mbili sasa hivi naamini roho yangu itapona walai
Unajua roho ni nini au ni mropokaji hi? Roho haiwez kuponywa kwa fedha wala material things kwa sababu ni kitu kisichoshikika, kinachokupa uhai.
 
MNACHOKITAFUTA HAKIKA MTAKIPATA.

HAKUNA WA KUFANANA NAYE.

PUNDE ATADHIHIRISHA.
 
Katika uzinduzi unaoendelea sasa hivi amesikika mbunge Bona Kamori akisema "Mheshimiwa Rais sema neno moja tu na roho zetu zitapona".

Kwa sisi Wakatoliki kauli hii husemwa wakati ambao tunaamini Mungu ameshuka wakati wa mageuzi. Sala hii husomwa kwa Mungu mwenyewe tukiamini neno lake moja tu linaweza kuponyesha roho zetu.

Swali la kujiuliza ni je, huyu mama amefikia hatua ya kumpandisha Magufuli kufikia kumlinganisha na Mungu!? Kwanini kauli hizi za kukufuru zinafumbiwa macho na Rais mwenyewe ambaye ni mkatoliki na bila shaka anafahamu madhara ya kauli kama hizi!? Kwanini viongozi wa dini wapo kimya kukemea huu ujinga unaomea kwa kasi kubwa miongoni mwa wasaka tonge hawa wa kisiasa?

Pia kauli ya Makonda kuwa Rais pekee ndio mwanaume mwenye ujasiri nchi hii inamaanisha nini?
Serikali haina dini
 
mi sioni tatizo hata kidogo!! Rais anaweza kusema neno na watu wakapona.
kuhusu kauli ya makonda,mwanaume anaejulikana nchi hii ni magufuli, ndo msemaji wa mwisho kwa nchi hii.wanaume tupo wengi ila anae kohoa nchi ikasituka ni magufuli.
sio kila kusanyiko ni ibada. viongozi wa dini ni waelewa kuliko wewe
 
Back
Top Bottom