Kuna mtu nafanye naye kaziMfundishe namna ya kutafuta hela zake basi ili asikuombe
Ujue sio kila mwanamke anapenda kua omba omba
Duh hadi wewe mkuu?Zote sababu
Ata akiwa na hela zake, bado utaombwa tuMfundishe namna ya kutafuta hela zake basi ili asikuombe
Ujue sio kila mwanamke anapenda kua omba omba
One of my favorite, soongzView attachment 3607617 😊
But if I let you go I will never know
What my life would be holding you close to me
Will I ever see you smiling back at me?
(Oh, yeah) how will I know if I let you go?
If I let you go, ooh, baby
Oh-ooh-oh-oh
Mkuu leo una vibe thank u 😊🔥🔥View attachment 3607617 😊
But if I let you go I will never know
What my life would be holding you close to me
Will I ever see you smiling back at me?
(Oh, yeah) how will I know if I let you go?
If I let you go, ooh, baby
Oh-ooh-oh-oh
Sawa Platinum umeongea kama mkomavu kila la kheri kwako na mke wako♥️♥️Ni uhalisia, ni juu ya mwanaume kuubeba au kuukataa. Mwanamke lazima umtunze na umhudumie, bila kujali ni mahusiano ya hatua gani. Na sio kitu kibaya; ni asili.
DOMO ZEGEKwanini upo single?
Mapenzi yamekushinda?
Hujaona faida yake?
Au upo single kwa sababu maalum?
Bila mapenzi, unadhani dunia ingekuwaje?
Je, wewe unaonaje maisha ya kuwa single? Ni uchaguzi wako, mazingira yamekulazimisha, au bado hujakutana na mtu sahihi? 🤔💭
Sunday
ShesRise_1 🖐
Yes ni maamzi ya mtu binafsiSio sheria/lazima kuwa na mahusiano
Hope, hope hope. The greatest tragedy😌Yoo usijal mambo hubadilika bro
Hahahaha,eeeh kwani mm nani ?Duh hadi wewe mkuu?
Polee😢 tongoza kwa sms basiDOMO ZEGE
Nimeshangaa tu yaan dah😅Hahahaha,eeeh kwani mm nani ?
Mimi mkorofi na kawaida wanaume hawapendi ukorofii😅Hope, hope hope. The greatest tragedy😌
And you, why u single?
HahahahaNimeshangaa tu yaan dah😅
Mkuu leo una vibe thank u 😊🔥🔥
yes ni 🔥 hii weekend kama hii nipo hapa naimbishana na mpenzi wangu tunakumbushana zamaniiOne of my favorite, soongz
Sawa Platinum umeongea kama mkomavu kila la kheri kwako na mke wako♥️♥️
Noma sana aiseeHahahaha