Kwanini upo single?

Kibaya 95% wasichana wanasema wanawapenzi, 97% wavulana wapo single, hapa hua panatoa jasho kwelikweli..
 
Nipo single kwa sababu kila nikitongoza nakataliwa hii inatokana na kuwa sina swaga na pia sura yangu mbaya
polee sanaa cha msingi w tafuta pesaa!! Watakuona Handsome wenyewee
 
nipo single kwa sababu bado nausoma mchezo... Huu mchezo una namna yake bhana sio wa kukurupuka na kuingia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…