Kwanini upinzani wetu umeshindwa kututetea badala yake wanatetea wakwepa kodi na mafisadi ya ACACIA?

Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimya nyumba na makazi ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kazi yao ni kutetea mafisadi

Acacia waliposhikiliwa makinikia yao hawa wapinzani wetu walikuja juu sana hadi nikasema yes huu ndo upinzani sasa lakin kwa sasa nyumba zinabomolewa na hakuna fidia wamekaa kimiya hakuna hata mmoja anayepasa sauti yake

Kwahiyo nyie wapinzani kazi yenu ni kutetea mafisadi, wauza ngada na wakwepa kodi? Mbona huku kitaa hatuwaelewi

Nguvu yenu kama upinzani iko wapi kwanini haionekani?
Nina mashaka na akili yako si bure unatumika vibaya au hujitambui wewe,kwa hiyo unataka upinzani uwe upande wa ccm!!!!kwa hoja zipi hadi uwe upande huo??kosa toka mwanzo walifanye ccm,leo maji shingoni unataka upinzani uwe upande wa ccm,si walionywa hao hawakusikia na kipindi cha Mkapa Lisu huyu huyu akafungwa leo unataka Lisu aitetee serikali kwa lipi??endelea kutumika ila usitumike vibaya.
 
Katika maada hapo juu kuna neno ccm au umetumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nitafanya kazi moja ya kukufundisha kutofautisha kati ya L na R.
Habari na siyo habali. serikali na siyo selikali.

Pia nichangie kidogo, Hivi wapinzani unaowalaumu kuwatetea wezi, walisaini mikataba na hao wezi lini? Umesahau ccm walipokuwa wanasema ndiooooooooo na kupiga meza kupitisha hiyo mikataba wakati wapinzani wamekataa na kufukuzwa nje? inawezekana umeanza kujua haya mambo juzi subiri umalize darasa la saba ndipo utaweza kutoa thread yenye mashiko
We jamaa sizan kama una akili sawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habari hapo juu

Lengo la upinzan ni kutetea maslahi ya wananchi wanyonge na kuisimamia selikali, cha kusikitisha upinzani wetu wao wanajali matumbo yao tu wakifukuzwa bungeni huungana kwa pamoja kumushitaki speaker kwa maslahi yao

Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimya nyumba na makazi ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kazi yao ni kutetea mafisadi

Acacia waliposhikiliwa makinikia yao hawa wapinzani wetu walikuja juu sana hadi nikasema yes huu ndo upinzani sasa lakin kwa sasa nyumba zinabomolewa na hakuna fidia wamekaa kimiya hakuna hata mmoja anayepasa sauti yake

Kwahiyo nyie wapinzani kazi yenu ni kutetea mafisadi, wauza ngada na wakwepa kodi? Mbona huku kitaa hatuwaelewi

Nguvu yenu kama upinzani iko wapi kwanini haionekani?

Kwanini msisimame upande wetu wanyonge badala ya kusimama upande wa mafisadi na wakwepa kodi?

Hao wakwepa kodi wanawalipa kiasi gani ili nas tujichange tuwe tunawalipa kiasi hicho muweze kusimama upande wetu wanyonge?

Wengine mtajadili mwandiko wangu mara hapa hujaweka koma, mara umeandika utumbo gan huu badala ya kujadili hoja

Balikiwen katika bwana

Cc mbitiyaza

LONDON BABY

Kwani accasia waliingia mikataba na ccm au upinzani???

Hiyo nchi itaendelea siku mapunga kama ninyi mkifa
 
Mzigo wa mpumbavu huishia begani.
Ushauliwe kutokufanya upumbavu, u ignore ushauri, baada ya kupata matokeo ya upumbavu wako, basi unataka usaidiwe na aliyekushauri ukaukataa ushauri wake??????!!!!!!!!.Huu ni upumbavu grade one kabisa.
 
We jamaa bhana lini wapinzan wameshaul kuhusu bomoa bomoa au hujaelewa maada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wanaolala nje kwa kubomolewa makazi wameponzwa na mikataba mibovu ya madini?

People pleeease!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina hakika kama nalielewa swali lako. So, what is the connection between your question and what is being discussed here and flow of the debate in general? You seem to be digressing but even with that, kuna link kati ya mikataba mibovu na uduni wa maisha ya Tanzania. Serikali iliyosaini mikataba mibovu haijali wananchi wake. Serikali iliyosaini mikataba mibovu imezoea unyama - haiwezi kushindwa kubomoa makazi ya wananchi wake bila utaratibu.
 
Soma post niliyoijibu utaelewa jibu langu. Hilo langu sio swali bali ni rhetorical comment ya nilichoulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habari hapo juu

Lengo la upinzan ni kutetea maslahi ya wananchi wanyonge na kuisimamia selikali, cha kusikitisha upinzani wetu wao wanajali matumbo yao tu wakifukuzwa bungeni huungana kwa pamoja kumushitaki speaker kwa maslahi yao

Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimya nyumba na makazi ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kazi yao ni kutetea mafisadi

Acacia waliposhikiliwa makinikia yao hawa wapinzani wetu walikuja juu sana hadi nikasema yes huu ndo upinzani sasa lakin kwa sasa nyumba zinabomolewa na hakuna fidia wamekaa kimiya hakuna hata mmoja anayepasa sauti yake

Kwahiyo nyie wapinzani kazi yenu ni kutetea mafisadi, wauza ngada na wakwepa kodi? Mbona huku kitaa hatuwaelewi

Nguvu yenu kama upinzani iko wapi kwanini haionekani?

Kwanini msisimame upande wetu wanyonge badala ya kusimama upande wa mafisadi na wakwepa kodi?

Hao wakwepa kodi wanawalipa kiasi gani ili nas tujichange tuwe tunawalipa kiasi hicho muweze kusimama upande wetu wanyonge?

Wengine mtajadili mwandiko wangu mara hapa hujaweka koma, mara umeandika utumbo gan huu badala ya kujadili hoja

Balikiwen katika bwana

Cc mbitiyaza

LONDON BABY
Pumbavu kwani upinzani ndiyo unaotetea hai wanamme?
 
Kwa sasa wananchi wako kwenye matatizo makubwa ya hapa na pale wao wapo kimya nyumba na makazi ya watu yanabomolewa wao wamekaa tu, uhuru wa kujieleza haupo tena wao wamekaa kazi yao ni kutetea mafisadi
Kama maneno yako ni ya kutoka moyoni,kesho wapinzani watakuwa na maandamano ya kupinga dhuluma wanazofanyiwa wananchi na serekali,ungana nao katika kupinga dhuluma ambazo unaamini kuwa wamekaa kimya pasipo kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom