Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,838
Khaaa na weye kumbe ni bazaziNgoja nikupe mbinu za kibazazi, ukiongeza juhudi kidogo tu huyo mchuchu 'unamchuma'...
Sio mimi niliyekushauri hapa bali nipo nasoma kitabu cha katiba cha mabazazi...
Nanukuu, "Mke wa mtu huwa hatongozwi, mke wa mtu huwa anapewa care ile wanaume wengi huacha ifanya pindi wanaopooa"
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]