Kwanini unikatae halafu umwambie mume wako?

Afu huyo ukimtongoza ukakaza akakubali mkule mpaka puani.....ukitongozwa kataa kausha...mambo ya kusemelea kwa waume ni uboya...Haya,kauliwa aliyekutongoza baada ya mwez housegirl katiwa mimba na mumeo sijui utasemelea wapi.Ulimbukeni,ujinga,kujikweza huko.Wewe ni mwanamke kutongozwa lazima la sivyo tubandike vibao vyenye tahadhari usoni kwamba wewe mke wa MTU maana kama Pete hana madenti wanavaa.Uchonganishi siyo mzuri...kuwa na msimamo KATAA ...Usitafute kusifiwa na mwanaume wako.Tukiliwa kimyaa mpaka tushikwe ugoni
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja kuleta shida.

Yamenikuta nafanya mipango ya kuhama ili kunusuru maisha yangu, sijaulizwa ila baada ya kumtongoza mkewe jamaa ananipigaa jicho la hasira kwelikweli, hata salamu yangu haitikiii.
Mi ningekaza uso mbuzi sihami

Akileta za kuleta na mimi nazileta .

Ningekuwa nimemla hapo ni swala lingine.

We kaza uso halafu potezea tuone atafanyaje!!?
 
Mtihani mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom