Atakuwa hajafundwa huyo mwanamke, ni msungo na mdongwe!
Kwanini atake kuwagombanisha Je mkidhuriana atajisikiaje yeye kama sababu na chanzo.
Ilitakiwa hekima tu ya kukueleza kuwa sina nafasi ya jambo hilo basi ukamuelewa na siyo kujishaua kumueleza mume wake wakati mwezie anamchoresha tu maana yeye mwenyewe hajatulia anachepuka.
Asipoangalia atakuja kukumbuka huko mbele akishakuja kutambua kuwa mumewe anachepuka na pengine hata kuzaa nje ya ndoa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.