Kwanini unikatae halafu umwambie mume wako?

Kwanini unikatae halafu umwambie mume wako?

Mke wa mtu sumu ukitongoza kama unabet unaweza kuliwa

Akikataa na unasumbua anamtonya mwenye mali kijana kaa tayari kurogwa au kuliwa kisamvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa silogeki.
 
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja kuleta shida.

Yamenikuta nafanya mipango ya kuhama ili kunusuru maisha yangu, sijaulizwa ila baada ya kumtongoza mkewe jamaa ananipigaa jicho la hasira kwelikweli, hata salamu yangu haitikiii.
Tuonane paradiso tuonane paradisooo tuonane paradiso kwenye mji wa raha 🤣🤣🤣
 
Duh mzee baba mademu wote hawa we unaenda kusaundisha mke wa mtu
 
Kif*ro kiko karibu..

Note: Karma is the b*tch..
 
Ntahakikisha marinda nayafumua we unajitia kidume
 
Washikaji sijui mnafeli wapi?
Mke wa mtu hatongozwi,mke wa mtu mtengenezee mazingira ya kumgegeda tu,reaction zake zitakuwa signs tu za kujua analika au laa,ukiziona sign zinagoma achana naye kuepuka kuhama pasipo kutarajia.
 
Hizo signs unaweza ukazisoma vibaya mkuu hatimaye yakawa haya.
 
LWP MAJITU wanakuambia “utakuja kukojoa dagaa”
 
Unaekula au kutongoza mke wa mtu huna akili kabisa.
 
Wakati mwingine katika nyuzi nyingine utakuta watu wanapinga na kulaani ushoga Kwa nguvu kabisa.. Lakini hapa naona wengi wana halalisha kabisa jambo hilo. Yani inaonekana ni jambo la fahari kabisa na kushangilia hizo adhabu za kibaradhuli..

Tujitafakari wandugu.
 
Yamenikuta nafanya mipango ya kuhama ili kunusuru maisha yangu, sijaulizwa ila baada ya kumtongoza mkewe jamaa ananipigaa jicho la hasira kwelikweli, hata salamu yangu haitikiii.
uwe unatembea na kikopo cha babycare kabisa mkuu maana upo katika kipindi kizito KWERIKWERI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom