Kwanini unikatae halafu umwambie mume wako?

Pillato

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
333
Reaction score
310
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja kuleta shida.

Yamenikuta nafanya mipango ya kuhama ili kunusuru maisha yangu, sijaulizwa ila baada ya kumtongoza mkewe jamaa ananipigaa jicho la hasira kwelikweli, hata salamu yangu haitikiii.
 
Na ufanyekuhama mapema maana ukajikuta huna malinda.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daaah haya maisha yapo seriouz sana ila hizi comment ndo balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1487][emoji1487]
 
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja kuleta shida.

Yamenikuta nafanya mipango ya kuhama ili kunusuru maisha yangu, sijaulizwa ila baada ya kumtongoza mkewe jamaa ananipigaa jicho la hasira kwelikweli, hata salamu yangu haitikiii.
Kama ulijua ni mke wa mtu na ukamtongoza ,basi matatizo umeyataka mwenyewe pambana na hali yako
 
Ngoja nikupe mbinu za kibazazi, ukiongeza juhudi kidogo tu huyo mchuchu 'unamchuma'...

Sio mimi niliyekushauri hapa bali nipo nasoma kitabu cha katiba cha mabazazi...

Nanukuu, "Mke wa mtu huwa hatongozwi, mke wa mtu huwa anapewa care ile wanaume wengi huacha ifanya pindi wanaopooa"

🏃🏃🏃🏃
 
Mke wa mtu sumu ukitongoza kama unabet unaweza kuliwa

Akikataa na unasumbua anamtonya mwenye mali kijana kaa tayari kurogwa au kuliwa kisamvu 🤣🤣🤣
 
Hii sio sawa, sijakubaka nimekuomba na ukakataa, Sasa kwanini unitengenezee uadui na mtu wako! Tukidhuriana wewe utapata faida gani? Kuweni makini sana mkitongozwa msiwaambie watu wenu mtakuja kuleta shida.

Yamenikuta nafanya mipango ya kuhama ili kunusuru maisha yangu, sijaulizwa ila baada ya kumtongoza mkewe jamaa ananipigaa jicho la hasira kwelikweli, hata salamu yangu haitikiii.

Umeandika kwa unyonge sana mkuu.

"Uanaume ni pamoja na kufumaniwa." -- Ditopile (rip).

Wewe unakwama wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom