Kwanini unataka lakini unashindwa kusema

Kwanini unataka lakini unashindwa kusema

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Samahani sana wanajf wkwa maneno haya kwani imenibidi niseme hapa nashangazwa na hawa kaka zetu wanapokuwa na jambo la kutaka kusema wao wanabaki wanaumia rohoni wanashindwa kusema wanabaki kuangalia wenzao wakijivinjari. Wapo watu wengi ambao nimekutana nao na wengine niliwashauri namna ya kufanya wanapotaka kitu toka sehemu fulani wanashindwa kusema kutokana na kigugumizi cha mdomo, baadhi yao niliwashauri na wamefanikiwa kutokana na ushauri wangu, kwanini wewe mtu unataka kitu halafu unashindwa kusema na huyo mtu ambaye unamtaka kitu gani kinakufanya ushindwe kusema nini hasa? au ni aibu, mila, desturi, mfumo, ninini hasa? wengi wao nimewasaidia kwa ushauri wamefanikiwa na kuwa na ndoa njema toka kwa Mungu. Ningelipenda na wewe mwanajf kama unataka kitu toka kwa mtu sema naye au ukishindwa onana na wanasaikolojia watakusaidia namna ya kufanya na kuvuka katika woga wa kuthubutu kusema kwa mwenzio. SEMA NAYE ONDOA HOFU
 
ah mi naogopa kusema nao maana nikiwaambia ukweli najua watasema " umeniona mie cheapkiasi hicho? ebu kwenda zako." na anakufyonza kabisa. je nikitaka kusema nae kuw natak kulala nae nimuanze vipi?
 
TATIZO SI KUSEMA!!!!!!!!! TATIZO KUKUBALIWA OMBI LAKO!!!!!!!! Usipojipanga kwa MASHAIRI YENYE VINA, MIZANI, BETI, VIBWAGIZO NA MISTARI ILIYOSHIBAAA!!!!! HUPATI KITU KABISAAAA!!!!!!!!1

Ndo maana bora uchelewe kusema ila ukivunja ukmya USEME MAMBO YA UHAKIKA!!!!!!!!!!! Hata UONGO NI SUNA ILIHALI UKUBALIWE TU OMBI LAKO!!!!!!!!!
 
Mhhhhuu...................... si rahisi ki hivyo mdada.
 
Kuna mwingine ana pima upepo yan una kuta ana taka lakini akiangalia mazingira kwa sasa ana ona atakataliwa kwa hiyo ana hamua akae kimya kumbe ndio ana chelewa, Sasa kinachotokea unapo kuja kusema unakuta umechelewa!

Muda mwingine bora kusema ukajua moja tu kuliko kuja kuambiwa kwanini hukusema mwanzo? Na nafasi haipo!
 
Miaka hii ni nani anaogopa kusema au mwataka aseme anataka kwenye mtandao wa bei chee.
 
Tunajifanyaga tuna kigugumizi ili msituone vicheche. Chezea mwanaume weye.
 
yatawakuta ya mwazima jamvi, straight to the point , i like them boys wa namna hii tu
 
na siku ukifanya appointment na binti ili umwambie kadri mda unavyokaribia ndo unazidi kujilaumu kwanini ulimwambia muonane na what if akakutosa mtaangalianaje haaaa haaaaa
 
na siku ukifanya appointment na binti ili umwambie kadri mda unavyokaribia ndo unazidi kujilaumu kwanini ulimwambia muonane na what if akakutosa mtaangalianaje haaaa haaaaa

Umecheki ee, usipime kabisa mzee.....halafu mbaya zaidi iwe mtu unae onana nae kila siku.....we acha tu
 
Hebu nipe ushauri wa jinsi ya kusema nataka.. Pengne ushauri wako utanisaidia.
 
Samahani sana wanajf wkwa maneno haya kwani imenibidi niseme hapa nashangazwa na hawa kaka zetu wanapokuwa na jambo la kutaka kusema wao wanabaki wanaumia rohoni wanashindwa kusema wanabaki kuangalia wenzao wakijivinjari. Wapo watu wengi ambao nimekutana nao na wengine niliwashauri namna ya kufanya wanapotaka kitu toka sehemu fulani wanashindwa kusema kutokana na kigugumizi cha mdomo, baadhi yao niliwashauri na wamefanikiwa kutokana na ushauri wangu, kwanini wewe mtu unataka kitu halafu unashindwa kusema na huyo mtu ambaye unamtaka kitu gani kinakufanya ushindwe kusema nini hasa? au ni aibu, mila, desturi, mfumo, ninini hasa? wengi wao nimewasaidia kwa ushauri wamefanikiwa na kuwa na ndoa njema toka kwa Mungu. Ningelipenda na wewe mwanajf kama unataka kitu toka kwa mtu sema naye au ukishindwa onana na wanasaikolojia watakusaidia namna ya kufanya na kuvuka katika woga wa kuthubutu kusema kwa mwenzio. SEMA NAYE ONDOA HOFU

Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni

Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada
 
TATIZO SI KUSEMA!!!!!!!!! TATIZO KUKUBALIWA OMBI LAKO!!!!!!!! Usipojipanga kwa MASHAIRI YENYE VINA, MIZANI, BETI, VIBWAGIZO NA MISTARI ILIYOSHIBAAA!!!!! HUPATI KITU KABISAAAA!!!!!!!!1

Ndo maana bora uchelewe kusema ila ukivunja ukmya USEME MAMBO YA UHAKIKA!!!!!!!!!!! Hata UONGO NI SUNA ILIHALI UKUBALIWE TU OMBI LAKO!!!!!!!!!

Hahahaha.......ila hapo penye red hapo, panahitaji confidence ya hali ya juu sana hapo
 
mpaka leo nashindwa kumtizama mwanamke usoni na hasa ninaempenda ndio maana nimebakia kama nilivyo nakufa na tai shingoni
 
ah mi naogopa kusema nao
maana nikiwaambia ukweli najua watasema " umeniona mie cheapkiasi hicho?
ebu kwenda zako." na anakufyonza kabisa. je nikitaka kusema nae kuw
natak kulala nae nimuanze vipi?

mh!kulala nae hata b4 kukubal!slow down bac.
 
Oops, now.i understand something.

Ila iwe hivyo jamani? Mapenzi si uadui. Kwani ukikataliwa unakufa?
Umecheki ee, usipime kabisa mzee.....halafu mbaya zaidi iwe mtu unae onana nae kila siku.....we acha tu
 
Back
Top Bottom