Kwanini unataka lakini unashindwa kusema

Raha ya kutongozwa ni face to face, siyo face book wala twitter, kwanza mm naona kama vile umenidhalilisha ukinitongozea online, najiona kama umenishusha thamani na kuniona kama changu nisiye rasmi. anyway sujui ila mm napenda nikuone unachoongea na pale ndiyo napata ukweli kama unamaanisha.

Mkuu mpaka tunakutana face to face hayo ni matokeo ya appointment ambazo tumezipanga kabla! Jamani nitaanzia wapi ku-rquest date kama hatupo mazingira ya karibu karibu? Yaani nikuone tu barabarani nianze ooh Lisa mimi nakupenda, kweli hata kunipa nafasi ya kunisikiliza utanipa kweli nyie wanawake wa siku hizi? kwahiyo hayo ya online ni pre-approach then hayo ya face to face yatafuata! By the way naomba account yako ya facebook Lisa
 
hhahahahahaha! Hureeeeeeeeeee! kwa hiyo ndiyo unaanza ku-request/ appointment makubwaaaaaaaa!
 
Back
Top Bottom