Kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako?

Kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako?

Mara-pap; unawakuta kwa-Mungu wapo Madalali uliokuwa unawachukia na kuwakashifu Duniani.
Yaani kupitia wao, uende Mbinguni au Motoni, hapo chacha.......

Usikilize wateja wenye 'misongo'.

Unahitaji chochote njoo kwangu : insta #dalalitzee, +255 714 59 15 48.

Uaminifu ni wa kiwango cha 'Oscars'.

Nawasilisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],unaunganisha muuzaji na mnunuzi? Au unawekaga chako Ila kidogo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mara-pap; unawakuta kwa-Mungu wapo Madalali uliokuwa unawachukia na kuwakashifu Duniani.
Yaani kupitia wao, uende Mbinguni au Motoni, hapo chacha.......

Usikilize wateja wenye 'misongo'.

Unahitaji chochote njoo kwangu : insta #dalalitzee, +255 714 59 15 48.

Uaminifu ni wa kiwango cha 'Oscars'.

Nawasilisha.
Nahitaji ps4 used.

Ofa yangu inaanzia 350K
 
Acha vijana wafanye kazi. Kikubwa unapoenda kununua kitu lazima ujue bei yake sio unaenda kichwa kichwa tu. Utapigwa.

Mfano unatafuta gari ya milioni 5 dalali anakuletea Vitz wewe na fundi wako mnaikagua vizuri mkiridhika mnaichukua. Yeye atajijua kama kwa bosi kapeleka milioni 1 au 2 kikubwa wewe umepata bidhaa kwa reasonable price.
 
Simpaka upate bahati hyo?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Umejaaliwa duka lako zuri bidhaa NZURI leseni na kodi zote unalipa, kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako?

Ok sawa sio mbaya kumuweka dalali akukaribishie wateja.

Lakini mbona anaropoka Bei tofauti na unayouza na wewe umetoa macho tu unachekelea?

Umejifunza wapi biashara?

Mteja anapasuliwa na dalali, dalali anachukua faida KULIKO wewe uliefuata mzigo China wewe unamuangalia tu....why?

Kuanzia leo muondoe dalali hapo mbele ya duka. Na ikiwa wana njaa Sana waambie utawalipa kamishen wamlete mteja kila ukiuza wana asilimia zao...tumia MITANDAO KUTANGAZA biashara

SIWAPENDI hao jamaa hapo mlangoni kwako

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Masalange hao kariakoo wapo kibao
 
Back
Top Bottom