Kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako?

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Umejaaliwa duka lako zuri bidhaa NZURI leseni na kodi zote unalipa, kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako?

Ok sawa sio mbaya kumuweka dalali akukaribishie wateja.

Lakini mbona anaropoka Bei tofauti na unayouza na wewe umetoa macho tu unachekelea?

Umejifunza wapi biashara?

Mteja anapasuliwa na dalali, dalali anachukua faida KULIKO wewe uliefuata mzigo China wewe unamuangalia tu....why?

Kuanzia leo muondoe dalali hapo mbele ya duka. Na ikiwa wana njaa Sana waambie utawalipa kamishen wamlete mteja kila ukiuza wana asilimia zao...tumia MITANDAO KUTANGAZA biashara

SIWAPENDI hao jamaa hapo mlangoni kwako

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Umejaaliwa duka lako zuri bidhaa NZURI leseni na kodi zote unalipa, kwanini unaruhusu madalali nje ya duka lako??

Ok sawa sio mbaya kumuweka dalali akukaribishie wateja..

Lakini mbona anaropoka Bei tofauti na unayouza na wewe umetoa macho tu unachekelea?

Umejifunza wapi biashara?

Mteja anapasuliwa na dalali, dalali anachukua faida KULIKO wewe uliefuata mzigo China wewe unamuangalia tu....why?

Kuanzia leo muondoe dalali hapo mbele ya duka. Na ikiwa wana njaa Sana waambie utawalipa kamishen wamlete mteja kila ukiuza wana asilimia zao...tumia MITANDAO KUTANGAZA biashara

SIWAPENDI hao jamaa hapo mlangoni kwako

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kwanini na wewe unahangaika na dalali nje ya duka wakati duka unaliona?
 
Niliingia duka moja la furniture pale Keko, nikamkuta jamaa kakaa kwenye kiti kile cha ofisi, ana kitabu cha risiti nikaongea nae biashara nikalipia nusu akanipa risiti ila kumbe ni dalali....

Mara ya pili nikarudi kulipa tena nikamkuta yeye, ya tatu nafata mzigo wangu ndio nikakutana na mwenye ofisi.

Sema tu nilipenda ni dalali mwaminifu na anajua kazi.

Ila binafsi siwapendi madalali nikikuta kwenye biashara napokelewa na dalali huwa natoka nduki siwapendi
 
Niliingia duka moja la furniture pale keko, nikamkuta jamaa kakaa kwenye kiti kile cha ofisi, ana kitabu cha risiti nikaongea nae biashara niklipia nusu akanipa risiti ila kumbe ni dalali....

Mara ya pili nikarudi kulipa tena nikamkuta yeye , ya tatu nafata mzigo wangu ndio nikakutana na mwenye ofisi.

Okay...haiwezi kuwa ni kijana wa mwenye duka? Wenye maduka wengi hawakai dukani wanaweka vijana/kijana wao.
 
Kwanini na wewe unahangaika na dalali nje ya duka wakati duka unaliona?
Swali lako ni swali zuri sana. Kusema ukweli kwa hali ya kawaida tulitegemea mtu unapoenda dukani uende moja kwa moja kwa muuzaji. Lakini sivyo. Chimbuko la watu kuwa na tabia hii mbovu ilianza wakati wa kipindi cha Nyerere wakati bidhaa zikiwa adimu. Kipindi hicho ilikuwa mtu ukitaka kununua vitu vilivyokuwa adimu basi ni lazima upitie kwa dalali. Huu utamaduni umeridhishwa mapaka kizazi cha sasa.
 
Mimi binafsi huwa nawanyoosha sana hao madalali, siwataki kabisa wadalalie biashara yangu.
 
Niliingia duka moja la furniture pale keko, nikamkuta jamaa kakaa kwenye kiti kile cha ofisi, ana kitabu cha risiti nikaongea nae biashara niklipia nusu akanipa risiti ila kumbe ni dalali....

Mara ya pili nikarudi kulipa tena nikamkuta yeye , ya tatu nafata mzigo wangu ndio nikakutana na mwenye ofisi.
Sema tu nilipenda ni dalali mwaminifu na anajua kazi.

Ila binafsi siwapendi madalali nikikuta kwenye biashara napokelewa na dalali huwa natoka nduki siwapendi
Kinachoniudhi ni WENYE maduka kuwaangalia tu wanavyo kusumbua mpaka aone unataka kuruka ndio anaweza kujitokeza sijui wamewapatia Nini hawa jamaa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ofisi sio yake kawekwa na mwenye ofisi auze. Wenye ofisi hawakai dukani. Hata ukiingia showroom ya Ferrari utawakuta salesmen na sio wamiliki wa biashara. Huyo salesman mtamalizana kila kitu.
Wala hakuwa sales man....
Wakati naenda kwa mara ya tatu kwenye hiyo ofisi nilimkuta kijana (ndio atakua sales man kama sio mmiliki) basi huyu dalali akamkonyeza kijana atoke nae akatoka nje alivomkonyeza mi nikaona nikajua kwenye hilo konyezo kuna kitu
 
Back
Top Bottom