RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,130
- 138,156
Pole sanaWala hakuwa sales man....
Wakati naenda kwa mara ya tatu kwenye hiyo ofisi nilimkuta kijana (ndio atakua sales man kama sio mmiliki) basi huyu dalali akamkonyeza kijana atoke nae akatoka nje alivomkonyeza mi nikaona nikajua kwenye hilo konyezo kuna kitu