Kiongozi.... whatever... kwangu mimi maiti ni maiti. Ushirikiano acha tuurudishie huko akhera. Hapa duniani weka mbali mimi na maiti. Baaas
Siku moja usiku tukiwa chuoni tulitoroka tu kaenda kununua kuku wale wa kubanikwa kwenye mashine tukarudi chuoni ili tujipendelee! Ile kuingia ndani tu ikapigwa kengele ya dharura kufika parade tukaambiwa kuna maiti tano za ajali ya moto inabidi tukaziweke sawa, amini usiamini nilienda na kuku wangu na baada ya kumaliza ile dharura nikaendelea kujinafasi
You need Jesus....
Siogopi maiti coz nilishaduu na maiti ambae ni kabint ka jirani kalidanja jioni ileile nukazama ndani nikamchomeka maana alikuwa mzuri sana.
Dah! Asikwambie mtu maiti alivyo mtam.
Insanity
Better that.....Yaliyopita si ndwele mimi sasa ni mtu tofauti kabisa am a devoted Christian 100%
Better that.....
Insanity
Ndio ukuje pande hii nikubebe, nikubembeleze....Khaa hii thread imenifutia st Anne zangu kichwani waiii
Afu shujaa mshana jr ananambia ye huko mochware kishazoea kupiga gumzo na maiti. Maiti ikizinduka eti anaisihi ife tena kabla hajaicharaza vibao.
Hakyamama huyu jamaa anapaswa atangaze nia. Anafaa kuwa rais wetu au kuwa kocha wa Barcelona.
Ila kwangu mimi.... weka mbali na maiti. Acha tu tukutane huko mbinguni tuheshimiane.
Khaa hii thread imenifutia st Anne zangu kichwani waiii
Kwa nini hamkuita majirani
dawa yake ni nini ?
Afu shujaa mshana jr ananambia ye huko mochware kishazoea kupiga gumzo na maiti. Maiti ikizinduka eti anaisihi ife tena kabla hajaicharaza vibao.
Hakyamama huyu jamaa anapaswa atangaze nia. Anafaa kuwa rais wetu au kuwa kocha wa Barcelona.
Ila kwangu mimi.... weka mbali na maiti. Acha tu tukutane huko mbinguni tuheshimiane.
barcelona tuko vizuri nafikiri jana uliona ukweli. Labda awasaidie juv
Jana nilienda msibani.. Japo sikuangalia maiti ila sijalala leo aisee.. Picha yake ilikua yanijia.. Pale makaburini alipozikwa duh.. Ulikua usiku mgumu kwangu