Kwanini umeme wa TANESCO unazimazima ovyo?

Kwanini umeme wa TANESCO unazimazima ovyo?

Hakuna uzembe unaosababisha umeme kukatika, umeme kukatika kunasababu zake ntakupatia mfano mmoja Kimara juzi wakati mvua inanyesha kweli nilikuta nguzo imeanguka eneo la Baruti. Mvua inanyesha lakini Tanesco wapo site wafanyeshew jamani mtawaua. Umeme na mvua?

a
Uzembe unapofanyika wakati wa kujenga line, matatizo yanayotokana na uzembe huo yanakuwa matatizo ya kudomu.

Mfano; urefu kati ya polymeric moja nyingine kwenye nguzo unapokuwa chini ya 90cm unaweza kusababisha line kukatika wakati wa mvua kwaajili ya shoti.

Vivyo hivyo nguzo zikiwa umbali wa zaidi ya 100mt kuna uwezekazo wa line kujenga matumbo yanayoweza kusababisha shoti wakati wa mvua au upepo mkali.

Kutumika kwa vifaa ambavyo viko chini ya viwango kama cross arm kunaweza pia kuleta shida.

Sasa kama una contractor hewa na Tanesco wakafanya ukaguzi hewa kabla ya kupokea line na kuicharge, uzembe wote wa contractor unarithiwa na Tanesco na unawaathiri mamia kama sio maelfu ya walaji.
 
Kusema kwa Tanesco hawahusiki na ubora wa kazi ya contractor ni kuto kutaka kuwajibika.

Kusema kwamba kazi ya contractor sio kuchimbia nguzo ni kutokutaka kuwajibika pia.

Kusema kama contractor anawajibika kwa bodi ya wakandarasi na sio Tanesco ni kukwepesha lawama.

Kunilaumu kwa kuanzisha hii mada ni upeo finyu wa kufikiri.

Stop being too verbal, be factual.

HALI YA UZALISHAJI UMEME NCHINI
Hali ya umeme nchini imeendelea kuimarika licha ya changamoto mbali mbali tunazokabiliana nazo kwa sasa. Kuanzia taerehe 17 Septemba tulipoanza kutumia gesi inayotoka Mtwara tumeweza kuongeza uzalishaji wa umeme unaotumia gesi kutoka Megawati 260 zilizokuwepo kabla hadi Megawati 560 ikiwa ni ongezeko la jumla ya Megawati 300 au asilimia 115 ya umeme wa gesi uliokuwa unazalishwa. Hii imechangia sana kuboresha hali ya umeme tofauti na ilivyokuwa hapo kabla. Tunategemea kuongeza umeme wa Megawati 130 zaidi kutokana na vyanzo vya Gesi kati ya sasa na mwishoni mwa mwezi Januari 2016. Hii itafanya jumla ya umeme wote unaotokana na gesi kufikia Megawati 700 sawa na asilimia 70 ya umeme wote kwenye Gridi ya Taifa. Haya ni mapinduzi makubwa kwani kwa miaka mingi vyanzo vya maji ndivyo vimekuwa vikichangia zaidi ya asilimia 70 ya umeme nchini na hivyo kusababisha athari za mara kwa mara kila unapotokea ukame.
 
what is this?
It is simply irrelevant to the topic
 
Hakuna tatizo sehemu zozote, tatizo watu wanapata tatizo badala ya kutoa taarifa ofisi husika ya TANESCO wanakuja kulalamika mitandaoni.

Shirika limeboresha huduma zake ikiwa ni pamoja na kutoa namba za mawasiliano za mameneja wa Kanda na wa Mikoa iwapo unahisi tarizo lako halijatatuliwa unawasiliana na Meneja husika.
sawa mawazo yako hayapingwi, lakini hao tanesco wanaishi wapi kwa Kahama jana umeme umekata zaid ya mara tatu ni kwa mji mzima ina maana hao tanesco hawajui kama umeme haupo mpaka wapewe taarifa!! leo umeme haupo toka asubuhi mpaka saiv hata dalili ya kurudi haipo, ina maana tanesco hawajui kuwa hakuna umeme mpaka wapewe taarifa na wanainchi!!!!
 
Ulitoa taarifa ofisi za TANESCO uliyokaribu nayo ama umekuja kulalamika mtandaoni.

Iwapo unapata tatizo wasiliana na ofisi husika ndio utaratibu.
Mi nilikuwa mpita njia tu mkuu na wala shughuli zangu hazikuathiriwa na umeme.....nimeandika kulingana na thread sasa ulitaka tukae kimya na elewa sio wote wenye namba za hao mameneja na sio lazima sote tupige simu hata mitandaoni nao wanapita.
 
what is this?
It is simply irrelevant to the topic

Tatizo lipo wapi? Tena na kuongeza na hii ingine.

. MIUNDOMBINU YA TANESCO
Miongoni mwa kero kubwa inayolalamikiwa sana na wateja wetu ni kukatika umeme kunakosababishwa na uchakavu wa miundombinu. Ukweli ni kwamba baadhi ya miundombinu tuliyo nayo ni ya siku nyingi wakati matumizi ya umeme
yameendelea kuongezeka kwa kasi sana. Kwa mfano nyingi ya Substations katika jiji la Dar es Salaam zimejengwa katika miaka ya 80 na 90. Wakati huo wakazi wa jiji la Dar es Salaam walikuwa chini ya milioni 3. Sasa hivi wakazi wa jiji ni zaidi ya milioni 5 na hivyo miundombinu iliyopo inaelemewa sana.
Jitihada za kurekebisha hali hii zilikwishaanza ambapo sasa kuna miradi mikubwa inaendelea katika jiji la Dar es Salaam na itakapokamilika itasaidia sana kupunguza tatizo la kukatika kwa umeme. Kwa kiasi fulani kukatika huko kwa umeme hasa katika jiji la Dar es Salaam kunatokana pia na utekelezaji wa miradi hiyo.
Miradi inayotekelezwa ni pamoja na ule unaojengwa kusini mwa Dar es Salaam kwa mkopo wa Benki ya Dunia ambao utaboresha umeme maeneo ya Kigamboni, Kurasini, Mbagala, Mkuranga, Kisarawe, Gongolamboto, Ukonga, Kitunda, Vingunguti na Tabata
Mradi mwingine ni unaotekelezwa kwa ufadhili wa Serikali ya Japan ambao utasaidia kuondoa matatizo yaliyo katika maeneo ya Muhimbili na Upanga, Mwananyamala na Kinondoni, Oysterbay na Masaki, Jangwani Beach, Bahari Beach na Mbezi Beach.
Mradi mwingine ni ule unaotekelezwa kwa mkopo kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika ambao unaendelea katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Shinyanga, na Geita.
Mradi mwingine ni ule unaofadhiliwa na Serikali ya Finland ambao utasaidia sana kuimarisha umeme kati kati ya jiji la Dar es Salaam na kusaidia kuimarisha umeme katika eneo lenye majengo mengi marefu la Samora, Azikiwe, Kariakoo na Sea view.
Sambamba na miradi hiyo inayotekelezwa Dar es Salaam, mradi mkubwa wa kupeleka umeme wa 400KV kutoka Iringa kupitia Mtera, Dodoma, Singida hadi Shinyanga uko kwenye hatua za mwisho za kukamilika na hivyo kutuhakikishia umeme wa uhakika katika kanda ya ziwa hasa jiji la Mwanza.
Kazi ya kuunga Songea na Gridi ya Taifa kutokea Makambako kwa 220KV inaendelea na Makandarasi wako kazini.
Kazi za kuunga Tanzania na Kenya kwa umeme wa 400KV inatarajiwa kuanza hivi karibuni kwani zabuni za kuwapata Makandarasi ziko katika hatua za mwisho. Ujenzi unategemewa kuanza mwakani.
Kazi nyingine ambazo hazijaanza lakini zitaanza hivi karibuni ni pamoja na Dar es Salaam – Somanga (400KV), Bulyankhulu – Geita – Nyakanazi – Rusumo (220KV)
Miradi hii ya kuimarisha miundombinu ikikamilika itasaidia kulipunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la kukatika kwa umeme kutokana na mfumo wa Usambazaji.
Nawaomba wateja wetu, wakati kazi hii kubwa inapoendelea, wawe na subira na uvumilivu kwa usumbufu wa hapa na pale utakaokuwa unatokea. Hata hivyo TANESCO itajitahidi kurekebisha kasoro zinazoweza kurekebishwa katika miundombinu ya sasa ili kupunguza usumbufu huo wakati marekebisho makubwa yakiendelea.
 
Uzembe unapofanyika wakati wa kujenga line, matatizo yanayotokana na uzembe huo yanakuwa matatizo ya kudomu.

Mfano; urefu kati ya polymeric moja nyingine kwenye nguzo unapokuwa chini ya 90cm unaweza kusababisha line kukatika wakati wa mvua kwaajili ya shoti.

Vivyo hivyo nguzo zikiwa umbali wa zaidi ya 100mt kuna uwezekazo wa line kujenga matumbo yanayoweza kusababisha shoti wakati wa mvua au upepo mkali.

Kutumika kwa vifaa ambavyo viko chini ya viwango kama cross arm kunaweza pia kuleta shida.

Sasa kama una contractor hewa na Tanesco wakafanya ukaguzi hewa kabla ya kupokea line na kuicharge, uzembe wote wa contractor unarithiwa na Tanesco na unawaathiri mamia kama sio maelfu ya walaji.
Uzembe ukubwa sana unafanywa na TANESCO kupokea miradi mingi ambayo ipo chini ya kiwango inayopelekea usumbufu wa mara kwa mara hasa kudondoka kwa nguzo. Pia huu umeme wa sasa ni shida mfano huku Pawaga Iringa kunatatizo la nguzo kusimikwa bila zege sehemu ambazo ni bonde la mpunga hivyo kupelekea kuanguka mara kwa mara. Ukiacha hilo voltage drop ndio usiseme hii nadhani inatokana na kuusambaza umeme sehemu kubwa ya nchi bila kuwa na source ya kutosha. Wananchi wanalaani vikali waliuza solar panel zao wakitegemea umeme wa Tanesco kumbe ni janga kuu. Hivi hadi sasa umeme hakuna.
 
sawa mawazo yako hayapingwi, lakini hao tanesco wanaishi wapi kwa Kahama jana umeme umekata zaid ya mara tatu ni kwa mji mzima ina maana hao tanesco hawajui kama umeme haupo mpaka wapewe taarifa!! leo umeme haupo toka asubuhi mpaka saiv hata dalili ya kurudi haipo, ina maana tanesco hawajui kuwa hakuna umeme mpaka wapewe taarifa na wanainchi!!!!

Inawezekana umeme ukakatika lakini sio lazima ukatike Kahama yote, inawezekana ukakatika sehemu uliyopo sehemu zingine ukawepo ko vizuri kutoa taarifa kuliko ku assume
 
Mi nilikuwa mpita njia tu mkuu na wala shughuli zangu hazikuathiriwa na umeme.....nimeandika kulingana na thread sasa ulitaka tukae kimya na elewa sio wote wenye namba za hao mameneja na sio lazima sote tupige simu hata mitandaoni nao wanapita.

Namba zilitolewa kwenye vyombo mbali mbali vya habari na hata mitandao ya jamii

NAMBA ZA SIMU ZA MAMENEJA WA MIKOAKWA KILA KANDA 19 DESEMBA 2015

NambazasimuzilizokohapachininizaMamenejawaMikoambalimbali.SimuhizizitatumiwanawatejakuwasiliananaMenejahusikawaMkoapale ambapotatizo lake halikuwezakutatuliwanawafanyakaziwangazizachinikupitiadawati la dharura (Emergency Office).

Namba JINA LA MKOA JINA LA MENEJA WA MKOA NAMBA YA SIMU
KANDAYA DSM NA PWANI
1 ILALA Eng. Athanasius Nangali 0689 877 735
2 KINONDONI KASKAZINI Eng. Raymond Seya 0689 638 266
3 KINONDONI KUSINI Eng. Henryfrid Byabato 0684 889 884
4 TEMEKE Eng. Jahulula M. Jahulula 0782 926 200
5 PWANI Eng. Martin Madulu 0786 300 139
KANDA YAKASKAZINI
6 ARUSHA Eng. Gaspar Msigwa 0684 885 270
7 TANGA Eng. Richard Mallamia 0786 864 411
8. KILIMANJARO Eng. Maclean Mbonile 0787 365 678
9. MANYARA Eng. Gerson Manase 0788 108 800
KANDAYA ZIWA
10 MWANZA Eng. Sarah Assey 0784902345
11 KAGERA Eng. Hassan Said 0786899998
12 MARA Eng. Obey Sigala 0784418283
13 GEITA Eng. Joachim Ruweta 0787622842
14 SIMIYU Eng. Rehema Mashinji 0784411790
KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
15 MBEYA Eng. Francis Maze 0785392312
16 IRINGA Eng. Seraphin Lyimo 0787180143
17 RUKWA Eng. Herini Mhina 0683119480
18 NJOMBE Eng. Julius Sabu 0687230833
KANDA YA KATI
19 DODOMA Eng. Zakayo Temu 0782190080
20 MOROGORO Eng. John Bandiye 0786214499
21 SINGIDA Eng. Gamba Mauggira 0784902383
KANDA YAMAGHARIBI
22 TABORA Eng.Mohammed Abdallah 0789586820
23 SHINYANGA Eng. Mathias Salongo 0786456205
24 KIGOMA Eng. Masigija Lugata 0786405085
25 KATAVI Eng.Emmanuel Kachewa 0784300352
KANDA YA KUSINI
26 MTWARA Eng.Aziz Salum 0687296584
27 LINDI Eng. Johnson Mwigune 0782222997
28 RUVUMA Eng. Patrick Lwesya 0784551944
clip_image002.jpg

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA

NAMBA ZA SIMU ZA MAMENEJA WAANDAMIZI WA KANDA 19.12.2015

MamenejaWaandamiziwa Kanda watahusikakatikakutatuamatatizoyawatejaambayoyameshindikanakutatuliwaMkoani.

Namba JINA LA KANDA JINA LA MENEJA NAMBAYA SIMU
1.
Kanda yaKusini

(Mtwara, Lindi & Ruvuma)

Bi. Joyce Ngahyoma

0784275936
2.
Kanda yaNyandazaJuuKusini

(Mbeya, Iringa, Rukwa&Mjombe)

Bi. Salome Nkondola 0787286 599
3
Kanda ya Dar es Salaam naPwani

(KinondoniKaskazininaKusini, Temeke, Ilala &Pwani)

Eng. Mahende Mugaya 0784277953
4
Kanda yaKaskazini

(Tanga, Arusha, Kilimanjaro & Manyara)

Eng. Stella Hiza

0784902346
5.
Kanda yaZiwa

(Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu &Geita)

Eng. Amos Maganga

0784902324
6.
Kanda ya Kati

(Dodoma, Morogoro & Singida)

Eng. Deogratius Ndamugoba

0687848400
7.
Kanda yaMagharibi

(Tabora, Shinyanga, Katavi & Kigoma)

Eng. Engelbert Makoye

0786454611
 
Koleba, that happens rarely na sidhani kama kuna mtu anakukatalia hilo la lori kukata nyaya za line ya TANESCO au mvua kubwa kunyesha na matawi ya miti kuangukia nyaya au nguzo za line ya umeme na hivyo kusababisha eneo flani kukosa umeme kwa muda flani!!

Je, inakuwaje maeneo ambayo hakuna kitu kama hicho na still umeme upatikanaji wake unakuwa mithili ya mtu aliyewasha kibatari katikati ya uwanja wenye upepo kwa maana ya kwamba unazimikazimika ovyo?

Mfano, mimi leo na kwa sasa niandikapo hiki niko Maswa mjini kikazi ktk mkoa wa Shinyanga. Leo umeme umekatika mara sita nikiwa nahesabu mimi mwenyewe. Unakatika na baada kama ya nusu saa hivi au saa zima unarudi tena na ni kweupe wala hakuna hata tone la mvua wala upepo!!

Tatizo ni nini hasa!!? Hatukatai kuwa sometimes kunakuwa na maswala ya kiufundi.

Swali ni kuwa, why should this be always, every day??? Kila siku ni mvua tu na kila siku lori limepitia nyaya au nguzo??........Aaaah, no way, hii haikubaliki na maelezo yako hayaridhishi wala hayajitoshelezi.

Ishu ya umeme ni KERO na JIPU baya linalonuka saana na kuumizaaaaa!!

Kama uko ktk shirika hili, jitahidini kutoa majibu sahihi na si ya kisiasa siasa kama unavyojibu hapa!!

Hakuna uzembe unaosababisha umeme kukatika, umeme kukatika kunasababu zake ntakupatia mfano mmoja Kimara juzi wakati mvua inanyesha kweli nilikuta nguzo imeanguka eneo la Baruti. Mvua inanyesha lakini Tanesco wapo site wafanyeshew jamani mtawaua. Umeme na mvua?

a
 
Koleba, that happens rarely na sidhani kama kuna mtu anakukatalia hilo la lori kukata nyaya za line ya TANESCO au mvua kubwa kunyesha na matawi ya miti kuangukia nyaya au nguzo za line ya umeme na hivyo kusababisha eneo flani kukosa umeme kwa muda flani!!

Je, inakuwaje maeneo ambayo hakuna kitu kama hicho na still umeme upatikanaji wake unakuwa mithili ya mtu aliyewasha kibatari katikati ya uwanja wenye upepo kwa maana ya kwamba unazimikazimika ovyo?

Mfano, mimi leo na kwa sasa niandikapo hiki niko Maswa mjini kikazi ktk mkoa wa Shinyanga. Leo umeme umekatika mara sita nikiwa nahesabu mimi mwenyewe. Unakatika na baada kama ya nusu saa hivi au saa zima unarudi tena na ni kweupe wala hakuna hata tone la mvua wala upepo!!

Tatizo ni nini hasa!!? Hatukatai kuwa sometimes kunakuwa na maswala ya kiufundi.

Swali ni kuwa, why should this be always, every day??? Kila siku ni mvua tu na kila siku lori limepitia nyaya au nguzo??........Aaaah, no way, hii haikubaliki na maelezo yako hayaridhishi wala hayajitoshelezi.

Ishu ya umeme ni KERO na JIPU baya linalonuka saana na kuumizaaaaa!!

Kama uko ktk shirika hili, jitahidini kutoa majibu sahihi na si ya kisiasa siasa kama unavyojibu hapa!!
Kiongozi Kitaturu nakuunga mkono 100%
Tanzania yetu imeshakuwa na shida ya watu wanaokurupuka kujibu hoja za msingi kwa vihoja.

Ukweli ni kuwa Tanesco wamekubali na wanaendelea kukubali miradi mibovu mingi kwa rushwa za mtaani.

Tanesco wanapaswa kuadress hili tatizo kwa kuzifumua upya line zilizo chini ya kiwango na kuzijenga kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa. Kwangu mimi hii ndio suluhu pekee.

Hatuwezi kulazimisha tu kusambaza umeme kwa watu wengi wakati kinachosambazwa ni kero.

Wateja walio wengi hawana uelewa sana na viwango ambavyo vinakubalika katika ujenzi wa line.
Wao wanakuwa na imani na Tanesco na ndio Tanesco inawauzia kwenye gunia.

Halafu niombe tu kwa taasisi zinazohusika na utafiti zitusaidie kufanya Tafiti ya kujua kiasi cha resources za Tanesco zinazopotea katika miradi mibovu.
 
Niko Geita mjini, umeme umezima kwa mara ya tatu leo.
 
Post yangu uliyoi koti niliituma saa 10:49 jioni na tangu asubuhi hadi muda huo umeme hapa nilipo ulikuwa umekatika mara sita by counting it myself!

Toka wakati huo ndani ya masaa matatu umekatika tena mara tatu na muda huu saa 2:30 usiku huu hakuna umeme hapa Maswa, umekatika na si ajabu hadi kesho kuanzia mchana!!

Kwa hiyo tangu asubuhi hadi muda huu saa 2usiku, tumekatikiwa na umeme mara 9, hakuna mvua wala lori lililopitia nguzo na kukata nyaya za TANESCO!!

Sasa hebu tufikiri kuna kazi gani zinazoweza kufanyika kwa watu wanaotegemea umeme kama nyenzo kuu ya kufanyia kazi ktk mazingira haya??

Hivi hii dhana ya "HAPA KAZI TU" ni ktk mazingira gani hasa? Ya kutoa maagizo, kukaripia ovyo, kudhalilisha na kufukuza watumishi ovyo bila kuboresha maeneo ya utendaji kazi pamoja na vitendea kazi, umeme ukiwa zana muhimu??

Kiongozi Kitaturu nakuunga mkono 100%
Tanzania yetu imeshakuwa na shida ya watu wanaokurupuka kujibu hoja za msingi kwa vihoja.

Ukweli ni kuwa Tanesco wamekubali na wanaendelea kukubali miradi mibovu mingi kwa rushwa za mtaani.

Tanesco wanapaswa kuadress hili tatizo kwa kuzifumua upya line zilizo chini ya kiwango na kuzijenga kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa. Kwangu mimi hii ndio suluhu pekee.

Hatuwezi kulazimisha tu kusambaza umeme kwa watu wengi wakati kinachosambazwa ni kero.

Wateja walio wengi hawana uelewa sana na viwango ambavyo vinakubalika katika ujenzi wa line.
Wao wanakuwa na imani na Tanesco na ndio Tanesco inawauzia kwenye gunia.

Halafu niombe tu kwa taasisi zinazohusika na utafiti zitusaidie kufanya Tafiti ya kujua kiasi cha resources za Tanesco zinazopotea katika miradi mibovu.
 
Mimi nilishawahi kusema hata gesi ikawa ibatoka mpaka kweye vyoo .bado uneme utakatika na kuwa kero .
Kwa sababu tanesco mafundi wake wakienda kutengeneza nadhani wanafunga mipira kamavyale ya manati au vitambaa vitambaa .
Maana baada ya dk 5 tatizo linajirudia tena .
 
Wao wanasema sababu kubwa ni miundo mbinu chakavu.Mimi nasema sababu kubwa ni ufisadi, utaalam mdogo na kutokujituma.
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kwanini umeme wa TANESCO unazimazima ovyo kila mvua ikinyesha au upepo mkali ukivuma?

Swali hili lilianza kugonga kichwa changu tangu nikiwa kidato cha kwanza. Nakumbuka tukiwa kidato cha kwanza kama miaka 17 iliyopita uliibuka mjadala wakati tuko kwenye mapumziko juu ya swali hili. Tulikuwa tukiteseka sana kwani kusoma usiku wakati ule ilikuwa vigumu sana na wengi walilazimika kutumia miwani kwaajili ya kusoma kwa tochi.

Kwenye mjadala huo nilitoa jibu ambalo lilinifanya nichekwe sana na kuonekana muongo.
Ni kuchwekwa huko kulikonifanya kila ninapopata fursa niulize juu ya swala hili.

Mara niliambiwa kuwa wakati wa mvua na upepo nguzo huanguka na kusababisha tatizo hili. Ila bado nikajiuliza kama wawekaji wa nguzo huwa hawajui kama kuna upepo na mvua?

Majibu yameendelea kuwa mengi na maswali kuwa mengi zaidi kwani kila jibu limekuwa likizua maswali zaidi na kila swali likileta majibu mengi ya hovyo hovyo.

Leo nimepata fursa ya kujua angalau kidogo kwanini umeme wa TANESCO hukatika katika kila mara mvua ikinyesha au upepo ukipiga.

Nimekutana na contractor anayekubalika na TANESCO mwenye tumbo kubwa, kichwa kidogo, miguu midogo na akili kidogo.

Wadau huwezi amini, contractor huyu hajui kusoma wala kuandika ila anajua kuweka sahihi.

Sijui mfumo anaofanyia kazi lakini ni rahisi sana kujua kuwa ni mtu wa kupenda pombe na mizaha.Mtu huyu anayepewa miradi mpaka ya milioni mia, neno viwango ni msamiati mkubwa sana kwake.Yeye na mafundi wake kufanya kazi baada ya kulewa ni kitu cha kawaida sana.

ANAJUA NAMNA YA KUCHEZA NA MIRADI YAKE INAKUBALIKA KWA UKAGUZI SIFURI.

Nahisi nimepata jibu, japo sio la kitaalam sana.

Wadau naomba majibu zaidi kama yapo.
 
Tanzania nzima umeme unakatika katika na kurudi mara kwa mara zaidi ya mara tano au kumi kwa siku. Mfano leo tarehe 21.01.2016 huku Misungwi kati ya saa 11 jioni na saa 4 usiku umeme umekatika katika na kurudi zaidi ya mara 3. KWELI NIMEAMINI CCM NI ILE ILE
 
Tofauti na majenereta ya kariakoo umeme huu haupendi vurugu wala kelele za mvua na radi, ni nishati ya kistaarabu sana.
 
Mimi kidogo nimetembelea nchi za wenzetu, achana na mvua zetu zakawaida, wenzetu wanakila aina mbaya za hali ya hewa, kuna snow, vimbunga, mvua kubwa, upepo n.k kuna wakati wanakosa umeme ila ni issue kubwa sana kwao. Na hushuhulikiwa kwa haraka sana. Pia nilishatembelea tanesco zao wanatoa huduma kwa region. Then baada ya yote hayo nikagundua kwa jinsi waswahili tulivyo tunahitaji miujiza kuwafikia. Inabidi waachie private sector wafanye kazi kama ilivyo simu. Ila no way tanesco wataweza narudia No way
 
Back
Top Bottom