Kwanini umekuja na paka shuleni?

hhahhaaa haahaa haaa aaaaa...DOGO ....atakuwa sawa na yule aliyepaka mafuta kichani wakati yuko darasani ...mwalimu akamuuliza kwa nini ...akajibu..nilisikia mama akimwambia baba kipake hicho kichwa mafuta ndo itaingia vizuri :wave:
 
Paka mate!
 
Maskini weeee kaona nyau wake ataliwa kaamua ambebe shule huhuhuhuhuu
 
Dogo hayuko tayari kuona pussy analiwa....japo huenda tayari dingi alishapiga kitu saa nyiiiiingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…