Kwanini ulioa/kuolewa mapema?

Kwanini ulioa/kuolewa mapema?

Ukifanya ivyo unapata madhambi,kiufupi heshima yako inashuka ukianza kupata mtoto kabla ya ndoa

Sawa, endeleeni kuolewa/oa kwaajili ya kupata watoto na heshima.
Kila mtu anatafsiri na malengo yake katika swala zima la kuingia kwenye ndoa.
 
Kama ni Ke basi umechelewa sana,na kama ni Me basi umechelewa sana,umri huo unatakiwa uwe na mtoto mkubwa wa kwanza asiyepungua miaka 15 ama 10,sasa kwa umri huo chukulia ndio unaoa,baada ya mwaka mmoja ndio unapata mtoto wako wa kwanza,unafika miaka 53 mwanao ndio anamaliza darasa la saba,unafika miaka 57 ndio anamaliza form four,anafika form Six wewe ndio unamiaka 60 hapo nguvu zimeshakuishia kabisa,huoni kama umechelewa sana hapo
Nguvu zangu kuisha na ye kuwa form six kuna uhusiano ganii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom