Kwanini uliacha kwenda kanisani?

Niliweza kugundua kwa kuona irreconcilable contradictions.

Nilitumia mantiki kujua.

Mantiki iliniongoza kujua, logical consistency.

A world that has an omnipotent, omniscient and omnibenevolent God, cannot have evil without creating an irreconcilable contradiction.

Mantiki, logic, logical consistency.

Soma hiki kitabu.

"Philosophy of Religion: An Anthology.

Naki attach hapa, soma "PART IV The Problem of Evil 276"

Halafu angalia Epicurean Paradox hapo chini.

 

Attachments

Ngoja ni kujibu hivi Adriz, ukristo unaendana na uhuru sisi hatutishani kukatwa kichwa Wala vidole au mkia,. Biblia itabaki kama ilivyo sisi tunadili na wale wanaoitumia bible vibaya kufanya biashara . Kuwanyonya waamini wao. Mfano mdogo tu tunachangia ujenzi wa shule lakini ada na lipa sawa na mtu wa Imani nyingine ambae hakuchangia. Mara nyingi wanaochangia hizo taasisi hawanufaiki. Mchungaji anaishi nyumba ya milioni mia waumini hata mlo Moja kwao ni shida, anasomesha watoto shule za kulipia, Akitaka kitu yeye mnamchangia mkitaka waumini anasema ana waombea huo si utahira.kwanini yeye asijiombee
 
Labda nakua kimya kwa ajili ya usalama wake mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…