Kwanini uliacha kwenda kanisani?

nyie mashoga vipi? Watu wanajadili mada iliyoko mezani nyie mnaleta mambo yenu ya ushoga. Anzisheni uzi wenu mjadili harakati zenu huko
Walio anzisha hukuwakemea, ila ulipoona nimejibu ndo unanijia wima wimaa, hebu niwacheeee puliiiiiiizzzzz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijazungumzia mazuri ya kanisa mkuu,
 
Sijazungumzia mazuri ya kanisa mkuu,
Umeandika hivi.

"Kama kuna ubaya ,bila shaka kuna wema pia".

Off point, irrelevant.

Mimi nakwambia usinywe haya maji, yamechanganyika na mkojo nusu kwa nusu.

Wewe unaniambia kama yamechanganyika basi kuna maji pia, unakunywa.
 
Sasa unakutana na wanafiki kama kina mapengo ndio viongozi wa dini ,hiyo dini utaitafsirije?
 
Unashindwa kuongeza maarifa unaongeza Kiranga kuwa mkiristo. Kichwa chako hakina kazi?
 
Coca weweee

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Ndiyoooooo ni mtu m1, anabadilika kulingana na ID,
akiwa kwa ahmadi ni mwanaume lijariii, akiwa kwa coca ni shogaa, akiwaa kwa cute wife ni mwanamke.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha so mimiamadiwenani ni ID yako?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Unashindwa kuongeza maarifa unaongeza Kiranga kuwa mkiristo. Kichwa chako hakina kazi?
Mkuu nilishalijibu hilo. Mimi nikiuliza swali mtu akifuata protocol akanijibu kwanza badala ya kuuliza swali, huwa na appreciate sana. Na ndicho nilichofanya kwa Kiranga. Amejieleza vema pasipo kona kona, unlike others.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…