James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,236
Kiukweli niseme wazi...ningekuwa nasali pale ningeacha kwenda pale ila siyo kuacha kusali hapana...mpumbavu mmoja wa dunia hawezi kunifanya kuacha kusali...Carleen Ungekuwa muumini wa kanisa la Gwajiboy ungeendelea kwenda kanisani.. kwa sasa akiwa ni mchungaji/mwanasiasa. Ukijumuisha na swala la wazi lililotokea Kawe linalovunja amri ya 'Usiibe' na 'Usiseme uongo'....Kuna msemo unasema 'hauwezi kuwa mwanasiasa bila kusema uongo'
Kwa sabbu gani?Mtu kama Sylvester Gamanywa anakuwaje kiongozi wangu!
Yapo makanisa ambayo hawavai vibayaNiliacha kwa sababu ya wale dada zetu wanao tuvalia nguo za kutamanisha kanisani.
Niliona wazi na jiongezea dhambi tu ndani ya kanisa kwa kuwa taman
Zaka ni lazima siyo hiari.Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Kuelekea uchaguzi rais alisali kanisa la Sabato Magomeni.Ni wasabato pekee waliobaki nje ya siasa za kusifu na kuabudu!
Yapo makanisa yanayokemea dhambi...usiache kumwabudu Mungu kwa sababu ya watu...hao wanahukumu yaoNiliacha kwenda kanisani baada ya kuona viongozi wa imani yangu wameacha kukemea dhambi!
Na hata wakijitutumua siku kukemea basi huangalia aliyeitenda ni nani!!
Tofauti kabisa na manabii ninaowasoma habari zao kwenye kitabu ninachokiamini ambao walitetea Haki na kukemea dhambi bila kuogopa imefanywa na nani!
Nimewapitisha viongozi hawa kuwa ni WANAFKI sana na hawapaswi kuniongoza ibada!
Nasali hom!
Biblia inajipinga wapi?To be true baada ya kusoma course flan inaitwa world religions mwaka wa mwsho chuon kwakwel ukisoma namna ukiristo uislam na kuenea kwa dini hz za mapokeo kutoka USA na how zna operate nliachaa kwenda church...lkn kingne n jz biblia inavojipinga yenyew....etc. BUT I BLV THERE IS GOD
Hakuna aliyeweza kuyaelewa yote ktk biblia ndiyo maana kila siku tunajifunza...Dini ni kwa ajili ya watoto wadogo, ukiona mzazi 'timamu' kanisani ujue ni mnufaika au anapeleka watoto ili watiwe hofu iwe rahisi kuwalea.
Niliacha kwenda kanisani baada ya kuwa na uelewa mpana wa maandiko kuliko wanaonifundisha, nikaona napoteza muda... kama nitaenda tena basi ni kijamii zaidi ili tu nisionekane mharifu machoni pa wengi.
Kuna shida mahali lakini haifanyi mtu kuacha kumcha Mungu kwa sababu hiiUnakuta Msanii ambae Ni KIOO Cha jamii,
Mlevi wa sigara na pombe wa kupindukia, anaimba matusi kibao kwenye nyimbo zake, anachezesha wanawake uchi kwny video zake.
anatuharibia VIJANA wetu.
Akishapata pesa kutoka kwenye iyo kazi yake haramu, Anaituma mkoani kujengea nyumba ya ibada.
Siku moja kabla uzinduzi,
Anapanda usafiri wa Umma, anawalipia nauli watu wote na pombe za bure.
Alfajiri,
Watu wanafika wamelewa mpk wamejinyea.
Saa 3 asbuhi,
anaenda kuzindua nyumba ya ibada.
Viongoz wa dini wanampokea na kumlaki Kama shujaa.
Saa 8 mchana,
Anapiga show kwenye uwanja wa mpira, wamama,wababa, VIJANA, na watoto wanalewa pombe,wanacheza nyimbo za ngono.
Viongozi wa dini wako kimya
Kuna shida kwa viongozi wa dini...hata wale wanaosema kuna taabu nyingi wanapitia hata hivyo wapo wanaoikosoa serikali ktk hayo mambo...kikubwa usimuache Mungu wako unayemuamini kwa hiyo excuse.Viongozi wa kanisa langu kubaki kimya kipindi serikali inatesa, kuua na kubambikia kesi wapinzani.
Siendi church labda nje ya nchi au nijiridhishe nyendo za anayeongoza kanisa kuhusu itikadi zake.
Unaweza kwenda kanisa jingine siyo lazima ufufuo na uzimaBaada ya kuona clip ya gwajima akimla muumini
Ni somo refu, na oia ujazwe na Roho mtakatifu! Akufumbue macho! ... alisema kwa kauri yake namnukuu ''niite nami nitakuitikia nitakuonyesha mambo Magumu usiyo yajua''Uliwezaje kufahamu kuwa ni Mwafrika mweusi [emoji848]
Ushindi wa GwajimaHuwa kuna sababu mbalimbali ambazo humfanya mtu kutokupenda kuhudhuria ibada siku ya Jumamosi au Jumapili (kutokana na dhehebu).
Mimi sababu ilinifanya nisiwe nahudhuria kanisani ni pale mchungaji alipokuwa anahubiri kuhusu sadaka na matoleo tu kwa ibada tatu mfululizo.
Nini sababu yako?
Let then speak out.Ninyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Kwamba umeshajitosheleza kiroho kiasi kwamba huhitaji tena kwenda ibadani..?? Au unaamini kwenda kanisani ni kwenda tu kulitazama lile jengo, kuvaa smart kutoa sadaka na kurudi nyumbani.??Let then speak out.
Kuna tofauti ya kutokwenda kanisani na kusali. Maybe wanasali wakiwa majumbani.
God is Everywhere let us not judge them but remind them Mungu yupo na wanatakiwa kusali.
Say Amen
Thank youKwamba umeshajitosheleza kiroho kiasi kwamba huhitaji tena kwenda ibadani..?? Au unaamini kwenda kanisani ni kwenda tu kulitazama lile jengo, kuvaa smart kutoa sadaka na kurudi nyumbani.??