Kwanini uliacha kwenda kanisani?

mimi siamini dini yoyote kwa sasa ninacho amini ni MUNGU yupo nguvu iliyoniunda ndani ya tumbo la mama ndio ninayo ishukuru mpaka leo ila dini hapana

kuna maswali bado ninayo kuhusu dini kwa Africa
 
Hii nimeoniona kwa wahindi tu.. sisi wengine sanaa tupu.

Literally wale jamaa wanapeleka chakula ghalani mwa bwana... Masikini wakifika nyumbani mwake Mungu Wanalishwa na kuvikwa ..( literally.)

Wanapika nyumbani jioni wanabeba wanaelekea Temple kula pamoja na wasiojiweza na wazee. Jirani yangu was a very old lady in her late 80's to early 90's hana hata mfanyakazi wa ndani.. anaamka asubuhi Temple anakuwa taken care off mpaka jioni wanamrudisha nyumbani.

Hiyo ndio Dini. Sio sisi watu wanapambana makusanyo yaongezeke wajiongezee mishahara.. wakati wanachukua kutoka kwa wasiojiweza (Day time Robbery)

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
una amini dini gani na kwanini?
Mimi muisilamu Mkuu..namuamini Mungu mmoja na Mtume wake Mohammed (S.A.W)


kwasababu ndio Dini ya Kweli mbele za Allah.

Niseme TU Kweli...natamani niishi hii Dini kwa vitendo...Yaaani Naipenda Dini Yangu nampenda Mungu Wangu na Mtume..na nawapenda viongozi wangu wadini.

Dini hi imekamilika...na ndio mfumo wamaisha
 
niliacha kwenda kanisan baada yakugundua kule tunafundishwa uongo tofaut naukwel wenyewe,,,facts zenyew ni hiz
1: ukwel kuhusu taifa la Mungu na wana wa Mungu
2;ukwel kuhusu uzao wa nyoka wana wa shetan(wanefili)kuwamo bado wakitawal dunia na dini zote uzijuazo nakujiichagulia mahala pao kupaita patakatifu(fake israel)
3;ukwel kuhusu taifa la kwel la israel na Location bustan ya eden ilipo na safina ya nuhu ilipotua
4:ukwel kuhusu majina ya mashetan na miungu ya wazungu kutumika ktk makanisa na yameorodheshwa ktk iko kitab wanachokiita bible,,kuabudishwa ushetan bila kujua
5:kuchomoa vitabu vyenye facts na kuonesha asiri ya mwanadamu na rangi zoote zilizopo nini chanzo chake.Mfano kitabu cha enoch
6:kudanganywa kuhusu historia ya mtu mweus ktk biblia kuwa alitoka na alianzia ktk uzao wa hamu, japopokuwa bidanam wa kwanza Adam alikuwa mweus how come
7.kudanganywa kuwa waisrael walikaa miaka400 utumwan misri kumbe hata100 aikufika
Uongo n mwng saaana swez poteza muda , wangu kuaminishwa ujinga tenaa, bora niamn nachokiamn kulko kuabudu uongo
 
Mimi nimeacha baada ya mchungaji wangu kusema kuwa jamaa fulani ni chaguo la Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sadaka unampa mzee wa upako anapeleka wanae international schools af wewe wa kwako wanasomea st Kayumba. Hizo nazo ni akili?
 
Kuna Dini na Taasis za kidini.

Dini ni mfumo wa maisha.
Taasisi za kidini ni taasisi zenye taratibu zake kwa mujibu wa sheria.

Taratibu za taasisi wakati mwingine sio taratibu za kidini... Mfano matoleo walitoa mara moja hasa wakati wa mavuno kwa mujibu wa biblia..

Na matoleo unapaswa kuleta pale unapokuwa umepata..kila mtu kwa namna anayoona amewiwa.

Mfanyakazi anafanya kazi mpaka mwisho wa mwezi unamdai sadaka Ibada ya Jama5 jioni, Alhamis jioni, Ijumaa jumamosi na jumapili... Yaani kila akija kwa ibada yoyote alipe sadaka.. as if anakuja kununua Uhusiano na Mungu!

Worst enough akiwa hana uwezo hawi kipaumbele.. wale wanaoleta fedha nyingi ndio wanakuwa wapendwa na wanapata all the attention.. maombi nk. Maana yake uzima na wokovu unauzwa sasa!

Tatu Mungu Hakuwa Mjinga kupanga watu waende ibadani mara moja kwa wiki.. ili mpate muda wa Mchungaji kuchunga na Waumini kupractice walichojifunza. Sasa kama unashinda kanisani Jumatatu mpaka Jumapili ..asubuhi mpaka jioni hao watu wanafanya kazi siku sita zipi!? Na upendo, uvumilivu, kuwajali wengine wanawajali saangapi ikiwa muda wote wako kanisani!?

Watu wamehijack a beautiful thing for personal benefits.. Na hawa ninaamini Mungu Atashughulika nao.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"Dini hi imekamilika"

umetumia vigezo gan mpaka kusema hvo?
 
Leo siku nyingine tena ya kwenda kanisani...[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…