Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,798
- 22,929
Kwako matusi ni majaaliwa mtoto mjaa laana wewe, halafu unajitakatifusisha kutopenda na kulaani wanawake!sawa mchicha miba tunaona matokeo yako ya kupumuliwa sana kisogon na wanaume wenzio mkund* na akili vyote vipo loose
JUMBA LA UFALME WA MASHAHIDI WA YEHOVA'Uko sahihi kabisa mkuu. Wengine wote ni walamba viatu tu hakuna cha walokole wala nini?
Kuokoka ni kitendo gani..?Kanisa ni watu walioitwa kwa ajili ya kusudi la Mungu. Kanisa ni watu waliookoka. Mungu huokoa watu wake kwa lengo na kusudi lake. Sio kila Kanisa linalojiita Kanisa ni Kanisa kweli kweli. Mengine ni makusanyiko tu ya kidini ambayo kimsingi hata Mungu muumba mbingu na nchi hawajui. Mtu aliyeokolewa aakaliona kusudi la Mungu kumleta hapa duniani, hawezi kuchoka kuhudhuri aibadani kumwabudu Mungu Aliye hai! Hakuna raha duniani kama ile ya kuwa na ushirika na Muumba.
USHAURI: amua kumpa Yesu maisha yako kwa maana ya KUOKOKA, kisha Mungu atakuonesha eneo sahihi la kumwabudia nawe utapata raha nafsini mwako.
YESU NI MWOKOZI
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili, Mungu na Kaizari. Kati ya hao wawili uchaguzi ulio nao ni mmoja tu. Ama utamtumikia Mungu ama Kaisari.Carleen Ungekuwa muumini wa kanisa la Gwajiboy ungeendelea kwenda kanisani.. kwa sasa akiwa ni mchungaji/mwanasiasa. Ukijumuisha na swala la wazi lililotokea Kawe linalovunja amri ya 'Usiibe' na 'Usiseme uongo'....Kuna msemo unasema 'hauwezi kuwa mwanasiasa bila kusema uongo'
Ulipo Quote hizi 👇dharahu zako kwenye comment yangu na kuacha kutoa mchango wa mawazo yako #Ulijiona bora sana si!!? ndyKwako matusi ni majaaliwa mtoto mjaa laana wewe, halafu unajitakatifusisha kutopenda na kulaani wanawake!
Haramu kwako kwa wengine ni halali na hauwezi kuibadili dunia watu wakafuata maisha upendayo wewe mtu mmoja, huo mfumo unaufahamu sana.
Lakini inadhani ninaongea na mvuta bhangi siyo kwa matusi hayo. kha!
Pia tafuta kitabu kiitwacho "The Poor Christ of Bomba" huko huko African Writers Series.Nitakitafuta nikisome bro...asante
Huku ndio panakufaa,mnampiga shetani maweeNiliacha kwenda kanisani sababu ya kuyaheshimu masanamu tuliyoyatengeneza, hasa kipindi cha ijumaa kuu na Xmas. Nikaamua kuslimu, huko ndiko nilikokutana na dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu na mtume wake
Fikiria kwa mwaka mzima uchangie:Michango
Michango
Michango
Ishu ya michango inanikera sana na ndiyo imenikimbiza mazima.
Bora nipambane na Mungu wangu kivingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dahhhh.....
Ila kwetu michango imezidi mnoooo.....
1. Zaka
2.Sadaka
3. Mavuno
4. Utoto mtakatifu
5. Ujenzi wa nyumba ya Paroko
6. Ukarabati wa kanisa
7. Mfuko wa parokia
8. Wageni wa kanisa
9. Viti vya jumuiya
Kuna wanaoenda kanisani hawana nia ya kusali, yaani basi tu jamii imuone anahudhuria kanisani, nje ya kanisa wana matabia mabaya unaweza zimia. Huko ni kupoteza mudaNinyi endeleeni tu kutokwenda kanisani kwa amani, hakuna anayewahukumu, japokuwa naamini hapa yenyewe nafsi zenu zinawasuta ndiyo maana mnajifanya kutafuta justification tu ya matendo yenu hamna lolote..!
Ukikaribia kuoa anza kwenda kanisani, jumuiya kwa sana...fanya Kama mwaka mmoja hivi ukishaoa unapunguza unaenda mara moja moja ili watoto wasikose huduma ya ubatizo/ kipaimara. Ndivyo wengi wanavyofanyaNawaza jinsi gani nitafunga ndoa bila kuingia kanisani, kama ni lazima basi ni hicho tu kitanirejesha huko... japo nitawekewa vikwazo kama vyote!