Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wakuu amani iwe kwenu.
Pombe na umalaya / ukahaba vimekuwa ni vitu vigumu sana kukanyika mpaka mtu akakuelewa na hatimae kuacha kabisa.
Tuanze na pombe :
Matumizi ya pombe yamekuwa ni magumu sana kuthibitiwa hasa pale mtu anapokuwa na hela au kupata offer ! Mara nyingi mtu akiwa na hela hupenda anywee tu mpaka hela imuishie mfukoni bila kujali ana changamoto zingine zinazohitaji pesa hasa katika kuendesha familia.
Ni wachache sana ambao huweza kunywa kiwango cha pombe walichojipangia tangia mtu anatoka nyumbani.
Mtu anakwambia kaacha pombe kumbe anakunywa kwa kujificha au kahama bar!
Tuje na umalaya:
Wanaume / wanawake wengi wamekuwa malaya sana . Kisipite kitu kipya mbele yake, lazima atamani tu na ameze mate. Tahadhari ya magonjwa huwekwa pembeni.
Mtu ameolewa / ameoa lakini bado tu malaya. Anatakani kila mwanamke anayepita.
Mtu akisafiri kikazi lazima huko aendako alale na mwanamke mwingine siku hiyohiyo anafika.
Kuacha ni kazi !
Ila mm nikinywa tu pombe , sitaki ujinga wowote.
Tuache umalaya.