Kwanini ulevi na umalaya haviachani ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakuu amani iwe kwenu.

Pombe na umalaya / ukahaba vimekuwa ni vitu vigumu sana kukanyika mpaka mtu akakuelewa na hatimae kuacha kabisa.


Tuanze na pombe :

Matumizi ya pombe yamekuwa ni magumu sana kuthibitiwa hasa pale mtu anapokuwa na hela au kupata offer ! Mara nyingi mtu akiwa na hela hupenda anywee tu mpaka hela imuishie mfukoni bila kujali ana changamoto zingine zinazohitaji pesa hasa katika kuendesha familia.

Ni wachache sana ambao huweza kunywa kiwango cha pombe walichojipangia tangia mtu anatoka nyumbani.

Mtu anakwambia kaacha pombe kumbe anakunywa kwa kujificha au kahama bar!


Tuje na umalaya:

Wanaume / wanawake wengi wamekuwa malaya sana . Kisipite kitu kipya mbele yake, lazima atamani tu na ameze mate. Tahadhari ya magonjwa huwekwa pembeni.

Mtu ameolewa / ameoa lakini bado tu malaya. Anatakani kila mwanamke anayepita.


Mtu akisafiri kikazi lazima huko aendako alale na mwanamke mwingine siku hiyohiyo anafika.

Kuacha ni kazi !

Ila mm nikinywa tu pombe , sitaki ujinga wowote.

Tuache umalaya.
 
My brother
....Pombe na umalaya Ni kibatari na mafuta ya taa ,Ni vitu vinavyotegemeana
Apo mchawi tambi tu(connection).
 
Usitufokee, acha kufananisha pombe na vitu vya ajabu ajabu. Kwenye Harusi ya Kana Yesu hakubariki maji kuwa soda bali alibadili maji kuwa gambe so tuombe radhi wanywaji.

Swala la umalaya ni tabia binafsi na ndo maana tokea enzi za mitume na manabii watu walimiliki wanawake wa kutosha na hili halikuathiri ukuu wao na ucha Mungu.
 
Mtu akisafiri kikazi lazima huko aendako alale na mwanamke mwingine siku hiyohiyo anafika.
Aiseee nasafiri sana sana ndani ya Tz sikumbuki kuwahi kulala na mwanamke, huwa nafurahi sana kulala alone, enjoying my own company! Huwa nashangaa sana watu wakisema hivyo! Nashindwa kuelewa! Nimejisemea Mimi lakini....
 
Aiseee nasafiri sana sana ndani ya Tz sikumbuki kuwahi kulala na mwanamke, huwa nafurahi sana kulala alone, enjoying my own company! Huwa nashangaa sana watu wakisema hivyo! Nashindwa kuelewa! Nimejisemea Mimi lakini....
Mkuu, Wewe ni verified member, huenda jina hilo pia ni lako halisi. hivyo basi, huna budi kuzungumza hivi kwa mustakabali mwema wa ndoa yako.
 

Attachments

  • IMG-20200809-WA0135.jpg
    IMG-20200809-WA0135.jpg
    64.7 KB · Views: 5
Pombe inasukuma damu kwenda kwenye uume hala dushe linadinda ndiii kutafuta papu.

Ila kwa wadada sijui inawafanyaje
 
Back
Top Bottom