Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
naona signature imepenya kumoyoNitajaribu pale tu utakapobadili hiyo ' signature ' yako hapo.
naona signature imepenya kumoyoNitajaribu pale tu utakapobadili hiyo ' signature ' yako hapo.
Ni kawaida yangu kila formula ninayopewa kwenye Mathematics naiprove. Ngoja nikafanye mapractical kwanza nitarudi na mrejesho
naona signature imepenya kumoyo
YESU RUWA mpaka msibani?
Nini kimekuchekesha hapo?imenibidi nicheke kwanguvu saaana
Nyie masela mmezidi sasa.Kufanikiwa Kwangu huku kutongoza Mademu Misibani kumenifanya kila siku nijikite kutaka kujua ni wapi kuna Msiba kwani kwa Takwimu yangu hadi sasa kati ya Wanawake 81 niliowatongoza tukiwa katika Misiba mbalimbali 79 kati yao nimebahatika ' kushiriki ' nao na hao Wawili tu ndiyo wamenipiga ' dochi '.
Huku nikidhani kuwa labda ni Mimi tu peke yangu ndiyo niliyekumbana au ninayekumbana na haya kuna Mdau mwingine yeye nadhani ndiyo kaweka rekodi ya ' kutukuka ' kwani anasema mpaka jana ameshatongoza ' Mademu ' 189 tangia aanze kuhudhuria ' misiba ' mbalimbali tokea alipo ' balehe ' na amesha ' shiriki ' nao wote hao 189.
Hivyo basi naomba kuwaulizeni ' Wadau ' ni kwanini huwa ni rahisi sana kutongoza ' mademu ' mkiwa misibani kuliko maeneo yoyote halafu hata hao Mademu ( Wanawake ) wenyewe huwa ' wanajirahisi ' mno na ni ' nadra ' kukukatalia?
ANGALIZO.
Tafadhali hapa simaanishi wale ' Wafiwa ' bali namaanisha wale ambao wanakuwa wanahudhuria ule ' msiba ' husika au kwa lugha nyepesi wanaitwa ' wageni waombolezaji '.
Naomba kuwasilisha.
huku amna mkuuKwani kuna ' Sheria ' ya Kikatiba inayomkataza Mtanzania yoyote ' kutongoza ' Misibani? Dada vipi leo huko Mtaani Kwako ' Israeli ' hajafanya Kazi yake nije nisepe na Kijiji?
ngoja na mimi nianze kufanya hako kautafitiSasa bahati mbaya au sijui nzuri hiyo hali imeotokea hapa hapa Dar es Salaam na hivi ninavyoandika hivi ndiyo nimerudi kutoka ' kukesha ' na jioni ' tunazika ' ila mida ya Saa 5 hivi kuna Mdada mmoja ' anaileta ' mwenyewe ghetto ' nishiriki ' nayo. Nilimtongoza usiku baada ya kuona kila mara anahudumia hudumia mara anajipitisha jipitisha upande tuliokaa ' Madume ' na nikaona si vibaya nikijaribu bahati yangu na bahati nzuri ikawa ' imoooooooooooo.... '.
Kufanikiwa Kwangu huku kutongoza Mademu Misibani kumenifanya kila siku nijikite kutaka kujua ni wapi kuna Msiba kwani kwa Takwimu yangu hadi sasa kati ya Wanawake 81 niliowatongoza tukiwa katika Misiba mbalimbali 79 kati yao nimebahatika ' kushiriki ' nao.